Mchungaji wa kanisa la Wasabato Kahama na familia yake wasoteshwa rumande kwa kesi ya dawa za kulevya


Uongo? Angalia kilichokuwa post namba 5. Haya yalikuwa pale:

"Wewe ni huyu TAKUKURU? Wewe ni hao TAKUKURU waliokuwa kwenye huo mchongo? Wewe ni muumini kwenye hili kanisa? Wewe ni mhusika hospitalini hapo? Au wewe ni polisi waliowahifadhi watumishi wa Mungu hawa selo walikosukumwa ndani?"

Ila labda nikuongezee na hili moja:

Au wewe ni mmoja wa wale weupe weupe ...?

Labda utafakari haya kwanza.
 
Wamekamatwa watumishi 4 Tuache siasa na huruma..
 
Kama una nia ya kusafisha uovu huu hebu mtaje haraka tuanze kumshughulikia
 
Je ni kweli huyo mama alikutwa na dawa kwenye mkoba wake?
 
Baadaye utajua hujui!

Kwani umetumwa na nani?

Aliyekutuma ndio kakupa hiyo taarifa?

Unaandika bila kuchunguza mambo, na kuonyesha udhaifu na ufinyu wa upembuzi wa taarifa uliyopokea!

Acha kulichafua kanisa na waumini wake kwa sababu za kuhisi!
Halafu hilo jina mbona halifanani na wewe! WEWE ULIPASWA KUJIITA "MLAUDEKIA"

Mie ni binadamu so naweza kuwa yeyote na wala sio lazima niwe kwenye hiyo orodha yako!

Leta ushahidi wa hao weupe, weka na picha zao tuuone huo weupe walio nao, labda naweza pata jiko la pili hapo!

Vyeupe mwilini kwangu ni macho ukiondoa mboni za zake. Hata hivyo, weupe ni moja kati ya rangi zisizo na thamani kwani wanaozitaka huzinunua kwa mafuta ya kupaka na wengine kwa vidonge... weusi wangu ndio rangi halisi kwangu.

Akili nyingi haihitaji nguvu nyingi kuelewa.

Naona umekuja na kufungua akaunti mpya kwa ajili ya uzi huu sijui utaendelea 🙄?

FAFANUA VYEMA NA MIMI NIPATE TAARIFA KAMILI kulingana na nilichokuuliza hapo awali, ACHA KUFUNIKA MASHIMO KWENYE BARABARA YA LAMI KWA KUTUMIA MCHANGA!🚮🚮
 

Post zako mbili namba 51 na namba 57 hazikanushi kuwapo kwa tatizo ambalo ndilo lililo la msingi.

Bila shaka nilichoandika namba 53 na namba 61 kinajieleza.

Nikukumbushe haikuwa rahisi kuufikisha ujumbe huu ndani ya vigezo vyote vilivyoelezwa.

Kwa kweli ukuu wa Mungu dhidi ya uovu umejidhihirisha.

Inafahamika tambo zote za aliyetaka kumtia adabu mchungaji zimeyeyuka na mlipo mnahaha kulizima soo hili kwa namna yoyote. Mwovu hakuwa ameyakadiria maji sawa sawa. Hakujua JF, ikibidi watu huongea kwa uwazi.

Inafahamika kuna mkutano wa usuluhishi umefanyika. Inafahamika kufuatia uzi huu kuna jitihada za yule mwovu nyuma ya pazia kutafuta kanusho la hadaa toka kwa wahusika kwa ahadi kadhaa wa kadhaa.

Mungu mkubwa ngoja tuone.

Nirudi kwenye post yako hii mpya:

Post hii inafanana na mbili zako za awali kwenye kuwa zimeandikwa zikibeba hasira kali na maneno matupu.

Post hii inatofautiana na mbili zile kwenye kuwa juu yake kuna vitisho, aya zake zimenyumbulishwa na haina makosa makosa ya kiuandishi.

Haimchukui mtu muda kufahamu mbili zile na moja hii zimeandikwa na watu wawili tofauti walioguswa kisawa sawa ...

Ashukuriwe kwa yote baba wa mbinguni bwana wa majeshi.
 
Habari njema kwa wote wenye kudhulumiwa jina la serikali likihusishwa:

Your browser is not able to display this video.
 
Baharia mtakukuru huyo mwenyeji wa Musoma, mhusudu mbususu nyeupe nyeupe, itaakisi kufanana naye kuliweka jina lake hadharani.

Ila alichomfanyia mchungaji huyu aliyefunzwa kusamehe x7x70 alikomfikisha sidhani kuwa atauhubiri tena ujumbe huo.
Nmeshamjua baharia huyu. Ni mwenyeji wa Bunda - Mara, ana kagari kake aina ya Suzuki.
 
Aache kiherehere.

Hapo kakamatwa kwa kosa la kuizuia taasisi kutimiza majukumu yake.

Kama angekuwa na nia njema, angesubiri aende kundhamini baada ya kesi yake kutajwa.
[emoji3581]
 
Wachungaji hao amabao jiwe alikua anakiuka katiba na kuua watu wao walikaaa kimya tu bila kukemea,tena walikua wanaunga juhudi ..acha nae ataabike 😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…