MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

Kwani kumharibia mtu ni rahisi kiasi hicho?
Je, umeshawahi kuishi nchini Urusi au umewahi kuishi pamoja na Warusi? Au kuwahi kuishi kwenye moja ya nchi ambazo ni washirika wa karibu na Urusi? Hayo ni mambo ya kawaida kabisa kufanyika huko kwenye hizo nchi, hususani kwa Watu maarufu wenye ushawishi mkubwa kwenye jamii wamekuwa wahanga wakubwa Sana wa kufanyiwa matukio kama hayo.

Mawakala wa Ujasusi wa KGB/FSB wamekuwa hodari sana wa kupanga na kuratibu matukio ya namna hii nchini Urusi na kwenye nchi zingine ambazo ni washirika wake. Ili uweze kuishi kwa usalama na amani ni lazima ukiwa kwenye nchi hizo upate 'intelligence briefing' ya kutosha na ya kina kabisa ili uweze kujihami dhidi ya 'mashambulizi ya namna hii.' Kumbuka; hata Mabalozi wa nchi mbali mbali za kigeni pamoja na Wanadiplomasia wa kigeni waliopo kwenye nchi hizo pia nao wamekuwa wakiwindwa au kufanyiwa matukio ya namna hii. Aidha, hata 'wavaa kaunda suti' wengi zaidi waliopo hapa Tanzania nao pia wamechukulia Mafunzo yao ya 'umahiri' huko huko nchini Urusi, so take care!
 
kuna sehemu inasema, mara ya kwanza mheshimiwa kuomba tigo wakiwa chumbani demu alitoka, sasa iweje aliwe kirahisi kwenye gari?
hapa kuna mbinu
 
Tutubu sana Kwa ajili ya taifa hili..
Uovu,Uasi na machukizo mbele Za Muumba husababisha mapigo Kwa nchi na taifa..

Haya ya Sodoma na Gomola si ya kuchekea wala kushabikia..Tutaangamia na kuangamiza vizazi..

Najiuliza mengi

Amewafanyia wangapi? Kike/kiume
Wangapi Wapo kimya?
Ni Tatizo la AFYA ya kiroho? Kimwili? AFYA ya akili?
Tuna viongozi wangapi wa jinsi hii?

Tunapataje baraka ya Mavuno?Mifugo?Utajiri?
 
Wewe Unadhani zoezi hilo ni rahisi kama unavyolisoma hapa?
Hebu jaribu kutulia na kuweka gharama kwa kila hatua (scene) halafu mwisho uweke malipo kwa huyo binti aliyetumika kama mtego/chambo. It was a Very expensive exercise/endeavor.
Kwaiyo unataka kusema RC hajatatua marinda mbona ushahidi uko wazi?
 
Huyo jamaa uliyemjibu inaelekea sio mfuatiliaji mzuri wa mambo ya kisiasa. Mbona hata hapa Tz huo mchezo mchafu umeshika kasi? Asubiri kadri tunavyoikaribia Oct.2024 (uchaguzi wa Serikali za Mitaa) na mwaka 2025 Uchaguzi mkuu atayaona na kusikia mengi.
 
Ukipata Muda pitia kitu inaitwa Sexual Exploitation and Abuse especially ile course inayotolewa na International Code of Conduct Association - ICOCA...Kuna Gap kubwa sana kati ya mkuu wa Mkoa na Mwanafunzi.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…