Wanawake wenyewe sio wa kuwatetea, wengi wanafanya kwa hiyari yao ndo hivyo jumba bovu limemwangukia tuTena akajiingiza mwenyewe. Nachomwonea huruma ni alikuwa na asilimia 99 za kuchukua hilo jimbo. Hata 2020 yeye ndiye aliongoza kura za maoni Mzee Magu akamkata.. Ila yawezekana Mungu kaepushia mbali maana wadada huko jimboni na UDOM wangekipata cha moto 😂😂
Hapo anakula msuba auHuyo mwanachuo anaesemekana kamlawiti ashahusishwa kwenye kesi kama hiyo
Hata mimi nasubiri pichaKuna watu wanasema huyo binti ni asili ya kagera nahisi atakuwa na zigo.
Nasubiria picha
Nami nasubiria pichaHata mimi nasubiri picha
Tunawezs tukawa tunamlaumu sana RC kumbe uzalendo ulimshinda
Tunasema wazungu wanaleta ushoga, kumbe mashoga waliokubuhu tunao humu humu nchini, tena mpaka kwenye ngazi za juu za uongozi ndani ya Serikali. Huyu ni mmoja arobaini zake zimefika, je, ni wangapi hatuwafahamu?Sakata lililokuwepo Polisi Mwanza la kumwingilia kinyume cha maumbile mwanafunzi Mwanza linamhusu na tayari alishatumbuliwa. Sehemu nyingi alizopita huyu bwana pamoja na uchapa kazi wake scandals zake ni kupenda chini na kwa Mpalange sana sana.
Uswahili pro max.Kwemye gari ....parking......bar maarufu
KULAWITI.
Bashir Yakub, WAKILI
+255 714 047 241.
1. ADHABU YAKE.
Kifungu cha 154 Kanuni za Adhabu, Sura ya 16, Adhabu ya kulawiti ni Kifungo cha Maisha jela, au miaka isiyopungua 30 jela.
Kujaribu(attempt) kulawiti adhabu yake ni kifungo kisichopungua miaka 20.
2. USHAHIDI WAKE.
MOSI
Mahakama ya Rufaa katika kesi SELEMANI MAKUMBA vs JAMHURI, (2006) TRL 379 inasema kuwa ;-
"Ushahidi mzuri unaohusu Makosa ya Kujamiiana(sexual offences) ni ule unaotoka kwa mtendewa/muathirika mwenyewe(victim)."
Maana yake kile anachokisema muathirika ndio ushahidi mkuu na wa maana zaidi mbele ya Mahakama kabla ushahidi wa mtu au kitu kingine chochote.
PILI.
Kifungu cha 127(7) cha Sheria ya Ushahidi, Sura ya 6 kinasema kuwa ;-
Ushahidi wa muathirika/mtendewa wa makosa ya kujamiina, kama utatolewa vizuri, na shahidi akawa ni wa kuaminika(credible witness), basi unatosha peke yake bila kuhitaji ushahidi mwingine wowote( collaboration) kumtia mtuhumiwa hatiani na kuadhibiwa na mahakama.
Muathirika akitoa ushahidi mzuri imeisha.
3. VIPI KUHUSU USHAHIDI WA DAkTARI.
Katika kesi ya C.D. DE SOUZA vs B.R.SHARMA(1953)EACA 41 na maamuzi mengine meengi ya Mahakama ya rufaa, Ushahidi wa daktari ni MAONI tu(opinion).
Watu hujua ushahidi wa daktari ndio kila kitu,hapana. Ushahidi wake ni maoni tu.
Kwakuwa ni maoni, basi Mahakama inaweza kuukubali au kuukataa.
Na hata ushahidi wa daktari uwe sahihi vipi hauwezi kusimama peke yake kuthibitisha ulawiti, mpaka usaidiwe na ushahidi mwingine hasa wa mtendewa.
Mwisho, kuna vijana wa mjini wanajua kumuingilia mwanamke girlfriend wako au mke wako kinyume na maumbile sio kosa. Wanajua kosa ni mpaka iwe mwanaume kwa mwanaume.
Acheni ujinga mtaenda jela, hilo ni kosa. Na ni kosa hata kama ameridhia. Akiridhia nyote mpo kwenye makosa na mnakabiliwa na kifungo cha miaka 30 au maisha.
Msiseme sikuwaambia.
Na ww unadhani yatasemwa.. keep hopingKwakweli umma unapaswa kuelezwa
Nimeandika kimasikhara tu mkuu, naelewaNa ww unadhani yatasemwa.. keep hoping
Bado tigo zinataiti na kitu kifuani bado kimestand stillNa hawa wazee kwanini na wao wasitulie kutwa kufata vitoto vya 2000
Why..!
Anatuchafulia image sisi wana MtwaraSakata lililokuwepo Polisi Mwanza la kumwingilia kinyume cha maumbile mwanafunzi Mwanza linamhusu na tayari alishatumbuliwa. Sehemu nyingi alizopita huyu bwana pamoja na uchapa kazi wake scandals zake ni kupenda chini na kwa Mpalange sana sana.
Mtanda atatumbuliwa Kwa kashifa gani tena?Mtanda si ndiye wa mwanza bado kutumbuliwa
,
Kuna siku nawe utaliwa [emoji3575][emoji3575]Sio tu G nako hata mimi na wala wala
Mswalie mtumeHaka ndo kafiraji?
Mzee wacha mikurupuko,fuatilia issue yenyewe ndiyo uje kuchangiaKwani kitendo hicho kilitokea wapi?. Kama walikubaliana na kwenda Hotelini kuna mbaya gani?. Kwani alimlazimisha ?.
Mapenzi kitovu cha uzembeWanaume bana
Yani unapoteza nafasi kizembe hivyo kisa demu
Loh