MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

Tena akajiingiza mwenyewe. Nachomwonea huruma ni alikuwa na asilimia 99 za kuchukua hilo jimbo. Hata 2020 yeye ndiye aliongoza kura za maoni Mzee Magu akamkata.. Ila yawezekana Mungu kaepushia mbali maana wadada huko jimboni na UDOM wangekipata cha moto 😂😂
Wanawake wenyewe sio wa kuwatetea, wengi wanafanya kwa hiyari yao ndo hivyo jumba bovu limemwangukia tu

Mapaa yangefunuka mbona wengi wangeumbuka!
 
Sakata lililokuwepo Polisi Mwanza la kumwingilia kinyume cha maumbile mwanafunzi Mwanza linamhusu na tayari alishatumbuliwa. Sehemu nyingi alizopita huyu bwana pamoja na uchapa kazi wake scandals zake ni kupenda chini na kwa Mpalange sana sana.
Tunasema wazungu wanaleta ushoga, kumbe mashoga waliokubuhu tunao humu humu nchini, tena mpaka kwenye ngazi za juu za uongozi ndani ya Serikali. Huyu ni mmoja arobaini zake zimefika, je, ni wangapi hatuwafahamu?
 
KULAWITI.

Bashir Yakub, WAKILI
+255 714 047 241.

1. ADHABU YAKE.

Kifungu cha 154 Kanuni za Adhabu, Sura ya 16, Adhabu ya kulawiti ni Kifungo cha Maisha jela, au miaka isiyopungua 30 jela.

Kujaribu(attempt) kulawiti adhabu yake ni kifungo kisichopungua miaka 20.

2. USHAHIDI WAKE.

MOSI
Mahakama ya Rufaa katika kesi SELEMANI MAKUMBA vs JAMHURI, (2006) TRL 379 inasema kuwa ;-
"Ushahidi mzuri unaohusu Makosa ya Kujamiiana(sexual offences) ni ule unaotoka kwa mtendewa/muathirika mwenyewe(victim)."

Maana yake kile anachokisema muathirika ndio ushahidi mkuu na wa maana zaidi mbele ya Mahakama kabla ushahidi wa mtu au kitu kingine chochote.

PILI.
Kifungu cha 127(7) cha Sheria ya Ushahidi, Sura ya 6 kinasema kuwa ;-

Ushahidi wa muathirika/mtendewa wa makosa ya kujamiina, kama utatolewa vizuri, na shahidi akawa ni wa kuaminika(credible witness), basi unatosha peke yake bila kuhitaji ushahidi mwingine wowote( collaboration) kumtia mtuhumiwa hatiani na kuadhibiwa na mahakama.

Muathirika akitoa ushahidi mzuri imeisha.

3. VIPI KUHUSU USHAHIDI WA DAkTARI.

Katika kesi ya C.D. DE SOUZA vs B.R.SHARMA(1953)EACA 41 na maamuzi mengine meengi ya Mahakama ya rufaa, Ushahidi wa daktari ni MAONI tu(opinion).

Watu hujua ushahidi wa daktari ndio kila kitu,hapana. Ushahidi wake ni maoni tu.

Kwakuwa ni maoni, basi Mahakama inaweza kuukubali au kuukataa.

Na hata ushahidi wa daktari uwe sahihi vipi hauwezi kusimama peke yake kuthibitisha ulawiti, mpaka usaidiwe na ushahidi mwingine hasa wa mtendewa.

Mwisho, kuna vijana wa mjini wanajua kumuingilia mwanamke girlfriend wako au mke wako kinyume na maumbile sio kosa. Wanajua kosa ni mpaka iwe mwanaume kwa mwanaume.

Acheni ujinga mtaenda jela, hilo ni kosa. Na ni kosa hata kama ameridhia. Akiridhia nyote mpo kwenye makosa na mnakabiliwa na kifungo cha miaka 30 au maisha.

Msiseme sikuwaambia.

swali; mahakama inajiridhisha vipi kama muathirika mwenyewe alifanya kama sehemu ya makubaliano au kumtrap mhusika ili kumuingiza kwenye shida, maana wakati WA tukio walikuwa wawili, mshakiwa na mshitaki.

Mahakama inajiridhisha vipi kama mhusika alishawahi kuingiliwa na watu wengine nyakati nyingine huko nyuma na hata mtuhumiwa hakuwahi kuingiza kichwa ila, kuna utalaam wowote wa kupima vinasaba kwenye mwili/mkundu wa mshitaki vinavyoweza kuonyesha kweli ameingiliwa na mtuhumiwa?

Mahakama inajiridhisha vipi technically na bila kurely kwenye tuhuma za mdomo?
 
447946456_1367525410596835_1867924868806587610_n.jpg
 
Sakata lililokuwepo Polisi Mwanza la kumwingilia kinyume cha maumbile mwanafunzi Mwanza linamhusu na tayari alishatumbuliwa. Sehemu nyingi alizopita huyu bwana pamoja na uchapa kazi wake scandals zake ni kupenda chini na kwa Mpalange sana sana.
Anatuchafulia image sisi wana Mtwara
 
Back
Top Bottom