MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

Hilo ni tukio la aibu.
Maana hata binti naye ameshiriki kwa 50% kwa sababu ya tamaa zake japo mkuu wa mkoa naye amekosea.
Muda huo angekuwa yuko chuo au hostel anajisomea hilo lisingetokea.
 
Kosa hapo lipo kwa huyo mkuu wa mkoa maana hauwezi kutumia udhaifu wa MTU kujipatia faida

Hawa watoto wanaweza kuwa wana tamaa Ila usizitumie tamaa zao kufanya nao ngono

Nchi zetu zinasapoti ujinga Sana Ila n reality haifai hata MTU akikufata anashida mtatulie shida yake pasipokuomba Ngono au pesa

Be nice always
 
Ndio maana wengi wanaona kama hili suala la RC na mwanafunzi ni tukio lililopangwa kwa manufaa ya kisiasa. Mwisho wa siku kuna anayenufaika na hili tukio
 
Hilo ni tukio la aibu.
Maana hata binti naye ameshiriki kwa 50% kwa sababu ya tamaa zake japo mkuu wa mkoa naye amekosea.
Muda huo angekuwa yuko chuo au hostel anajisomea hilo lisingetokea.
Mkuu wa mkoa ametumia cheo chake na ametumia nguvu ya pesa kumdhalilisha huyo binti.
 
Mkuu wa mkoa ametumia cheo chake na ametumia nguvu ya pesa kumdhalilisha huyo binti.
Hilo ni kweli sijakataa lakini kuna maswali mengi pia ya kujiuliza bila kushabikia upande wowote.
Huyo binti mwanafunzi alifuata nini kwenye bar?
Kwa nini alikuwa na mawasiliano na huyo mkuu wa mkoa kwa miezi kadhaa?
Aliitikia wito wa mkuu wa mkoa yeye akiwa kama nani wake?
 
Hizi video za cctv ziko wapi??? Kama ni kwelii mkuu wa mkoa kamlawiti why afute kesiii..?? Huyu binti aburuzweee mahakamani kama alitumika kisiasaaa ajuteeee iwe funzo kwa malayaa wengine kama huyuuu.
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Hivi vitoto vidogo havifai kuwa na mahusiano navyo, vinatamaa sana na huwa vinatumika sana kuseti watu waingie kwenye kumi na nane za matukio ya kishenzi. Ni vyakuogopa kama ukoma!
 
Ndo maana mimi hivi vidude vya hadi 25 vipite kuleee lakini 35-40 hawa kwanza hata km siyo nyingi Toyota alteza DCY ilikuwa inatumika kwa mashindano na Toyota alteza BCD inatumiwa na bank teller utajua hujui
 
Hizi tuhuma zinaweza kuwa ni ajali za kisiasa za kutengenezwa huenda katika kuchapa kazi kuna mahala aligusa hasa kwa wale ambao Makonda alidai wana umoja kweli kweli ukimgusa mmoja wao umewagusa wote.
Yes, absolutely!
Hata Mimi pia Nina mtazamo huu huu. Huyo RC mtenguliwa most probably aligusa maslahi ya Watu fulani fulani, wakaona Bora wamharibie mapema.
 
Yeah amedhalilisha taasisi.
Hayo ni mambo ya kufanya vijana wacheza singeli anakuja kufanya msaidizi wa Rais ni kuitukanisha serikali kwamba katika watanzania milioni 60 wameshindwa kupata wateule wanaojielewa
Lakini endapo kama ungekuwa unafahamu taarifa za Siri za maisha binafsi ya watu hao viongozi wa Serikali, basi naamini kwa dhati kabisa kwamba usingeweza kutoa comment kama hii.

Je, unajua ni kwa Nini 'Vetting Certificates' za hao viongozi huwa haziwekwi hadharani??Unazijua sababu?
Kwanza ukichunguza kwa umakini utagundua kwamba wateule wengi sana hawana 'Clean Vetting Certificate,' wengi wao ni wachafu kuliko hata mashetani. Wanabebwa tu na suala la itikadi za chama na uchawa, ndio maana unaona wengi wao kazi yao ni wanafiki wa kumsifia Rais na kujipendekeza kwa Rais ili wasitenguliwe.
 
Nakubaliana na wewe.
Maana kuna wakati mwingine utashangaa kiongozi mkubwa anafanya maamuzi ya ajabu ambayo hata mtoto wa darasa la 3 anashangaa.
Nadhani mambo ya kufanyia vetting viongozi yaliishia enzi za Rais Mwinyi na Mkapa baada ya hapo ni mambo ya connection ndio yanafanya kazi zaidi
 
Hivi vitoto vidogo havifai kuwa na mahusiano navyo, vinatamaa sana na huwa vinatumika sana kuseti watu waingie kwenye kumi na nane za matukio ya kishenzi. Ni vyakuogopa kama ukoma!
Ukiwa dodoma kuna vibinti vya chuo utawakuta wanawavizia viongozi,wanakwenda na kujilengesha kwao πŸ˜„

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…