shauri la RC Kulawiti Mwanafunzi tangu tarehe 04 June 2024. limeshika hatamu naona RC ameamua kutumia watu kumhonga binti ili asitishe kesi,
Taratibu zote zilikuwa zimekamilika zikiwemo za Kuchukua maelezo ya mlalamikaji,uchunguzi wa kitabibu kutoka hospitali , kuchukua footage za CCTV kutoka eneo husika na Vielelezo vingine.
Ghafla binti akaanza kushawishiwa apapokee million 50 ili aaachane na shauri husika.
Serikali na vyombo vya dola Mwanza vimeshindwa kujua hii siyo kesi ya Madai ni kesi ya serious ya Jinai.
Mlalamikaji ni Jamuhuri ya Muungano wa Tanzani na Binti ni Shahidi tu.
Kwa sababu hiyo,Sanaa zingine zozote za kutoa rushwa ili kufuta kesi ni Kashifa mpya kwa serikali na vyombo vyake vya usalama.
Kwanini viongozi wetu wanakosa maadili kiasi hiki ??