Mdada unakwenda club huna pesa ya drink ?

Humu hamna mwenye tabia hio kila mmoja humu mume/bf wake tsjiri anamhonga hela nyingi kwahio thread yako si mahali pake haoa jf
 
Kwani kwenda out na kurudi kwa daladala kuna shida gani?
 
Kawaida nimesha waona sana anakukazia macho halafu anakuonyesha chupa yako mezani unamuuliza nn anakuonyesha tena chupa badae unamuuliza unataka kinywaji anasema ndio unamwambia waiter amsikilize.
 
Kawaida nimesha waona sana anakukazia macho halafu anakuonyesha chupa yako mezani unamuuliza nn anakuonyesha tena chupa badae unamuuliza unataka kinywaji anasema ndio unamwambia waiter amsikilize.
Aisee.....
 
Mi wananinunuliaga wenyewe nawarudishia maana sinywi pombe mie.sio kila mwanamke unaemuona anakunywa maji hana hela ya pombe.wengine hatunywi pombe
 
ukimwambie waiter amsikilize anaagiza bia 3 na chakula kabisa anahisi nina hela nyingi. ila nimeshajifunza akinikazia macho nakwepesha yakwangu najua hapa tayari bili inataka kuongezeka.
 
Mi wananinunuliaga wenyewe nawarudishia maana sinywi pombe mie.sio kila mwanamke unaemuona anakunywa maji hana hela ya pombe.wengine hatunywi pombe
Hao mkuu hata maji hawana wanatafuna BigG
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…