Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaaa. Nini kimekuaminisha hivyo Kaka?Humu hamna mwenye tabia hio kila mmoja humu mume/bf wake tsjiri anamhonga hela nyingi kwahio thread yako si mahali pake haoa jf
Tunawapaje mafunzo sasa watu wameshaamua anavaa anajitokea itajulikana mbele kwa mbeleNi aibu kwakweli, jitahidini kuwapa mafunzo wenzenu hao wanawaaibisha taasisi ya akina mama looooooh!
Kwani kwenda out na kurudi kwa daladala kuna shida gani?Nimeona hii kitu Mara nyingi Sana, wadada wa hivyo wapo Sana kwenye night club za bure ama za kuingia na kinywaji
Kuingia ataomba watu nje, ndani nako atacheza mziki mpk atapewa bia kuondoka kwenyewe ataondoka kumekucha ili akapande daladala[emoji23][emoji23][emoji23]
Mweh kama Cna hela naangaliaga movie tu
Tena wacha nikazifuate mapemaaaa kabla cjashawishika kutoka
Hahahaaaaa. Nini kimekuaminisha hivyo Kaka?
Si nawasoma kila siku, hawatoki na masikini kama sisi. Hata kitchen party zao za kitajiri hawajadili vitu kama hiviHawa wa humu wakitasimulia saloon na kwenye kitchen party ujumbe utafika
Aisee.....Kawaida nimesha waona sana anakukazia macho halafu anakuonyesha chupa yako mezani unamuuliza nn anakuonyesha tena chupa badae unamuuliza unataka kinywaji anasema ndio unamwambia waiter amsikilize.
Nchi ya kijamaa hii. Ungemuacha atoe support[emoji12] [emoji12] [emoji12]Kha nilimng'ang'ania babu kuhakikisha hakuna drink inanunuliwa
Huko kwa mtogole mnatishaHakuna shida mkuu shida ni kuomba drink
Mi wananinunuliaga wenyewe nawarudishia maana sinywi pombe mie.sio kila mwanamke unaemuona anakunywa maji hana hela ya pombe.wengine hatunywi pombe
Umetumwa wewe.Humu hamna mwenye tabia hio kila mmoja humu mume/bf wake tsjiri anamhonga hela nyingi kwahio thread yako si mahali pake haoa jf
Na hao ni mashosti zako?Hao mkuu hata maji hawana wanatafuna BigG