Viungo vinajiweka. vyenyewe kwenye hivyo vyomboDunia ya Leo bd unatafuta wa kukufulia washing machine ipo,
Vyakula navyo vingi majiko yapo ya kisasa ni wewe tuu ku pima moto na kuepua.....
Km unahitaji wa kukufulia na kupika wapo ila dunia imekwisha chukua sura mpya kitech zaidi
Umeelewa lkn viungo havimshnd ishu ni kushinda na jiko huko tumekwisha anza kutokaViungo vinajiweka. vyenyewe kwenye hivyo vyombo
Kuna mrembo mmoja wa kikurya alikuja geto nikawa nimeshapika wali nikamwambia nikatie kachumbari , nilivyomuona amechukua nyanya anaikata mara mbili tu yaan robo robo ndio tayar nikamwambia lete nikusaidie mama wewe vua nguo ujilaze kitandani.