Mdada usikubali hizi swaga za kwamba tutafute maisha pamoja. Mpaka mkayapate maisha utakuwa umechakaa, mwanaume ataoa kabinti ka darasa la saba

Mdangaji katika ubora wake.

Wake zetu Wamasai nywele wananyoa na wanavaa Kaniki.
 
hayo matatizo aliyo nayo hayajasababishwa na kukukataa wewe
 
Unajifariji tu,hakikuwa na garantee ya yeye kuwa na good life bila wewe, isitoshe alikuwa na haki ya kukukataa manake hukuwa na vigezo vyake kwa wakati huo🙏
 
Nyie wanawake mliokwisha thamani mnapenda sana kudanganya wenzenu nao wazeeke bila watoto au ndoa, mnapenda kuona wanawake wenzenu wanaishia kujiita singo maza...
Hapo ulipo umeingia menopause na huna mategemeo ya kuolewa tena... Imeisha hiyo weee endelea kujiita dungaembe muda umekuacha, waache wanawake wenzio wenye akili wainjoi maisha na wanaume zao...
 
Unajifariji tu,hakikuwa na garantee ya yeye kuwa na good life bila wewe, isitoshe alikuwa na haki ya kukukataa manake hukuwa na vigezo vyake kwa wakati huo[emoji120]
Sasa mbona mpaka sasa hajampata Mwenye hela? Maisha ya kudanga...KILA kukicha kushinda hospital kusafishwa kidonda Ndugu...

Afu kuna wanaume wengine huwa siwaelewi kabisa....

Unawezaje kutembea na Mwanamke mwenye kidonda kikubwa namna ile? Au yale Matako yanawazuzua? Daah hatari sana!!!
 
🤣🤣Vipi blaza mbona umekuja kasi ukimuattack mleta mada?
Hahahah nawe ndo unajitafuta nn?life bado halijasoma?🤣🤣🤣🤣
 
Wewe hapo una hela?tuanzie hapo 🤣
 
Tatizo wenye nazo nao hatupendi wanawake wa hovyo na masikini
 
Siyo kwasabb alikukukataa wewe. Usijipe umungu. Kwani wewe ni nani?

Ni majaliwa yake Mungui, aliandikiwa hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…