mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
wewe sio lazima mwanamke asuke ili kua mzuriSaloon unakuwa unazipita tu kama kituo cha polisi maana wewe nywele husuki bali unakata kama shamba boy.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe sio lazima mwanamke asuke ili kua mzuriSaloon unakuwa unazipita tu kama kituo cha polisi maana wewe nywele husuki bali unakata kama shamba boy.
raha tunapata wote bana😂unaenda geuzwa godoro la mtu kupunguzia stress za maisha
Mdangaji katika ubora wake.Mwanamke ni kama ua, lisipotunzwa linapoteza mvuto kabisa. Hivyo usidanganyike kuolewa na mchovu akaanza kukulaza chini kwenye mkeka, mnakaa sakafuni, mnapikia kuni au jiko la mkaa mpk kucha zinajaa masizi.
Saloon unakuwa unazipita tu kama kituo cha polisi maana wewe nywele husuki bali unakata kama shamba boy. Na hukumbuki mara ya mwisho ulienda shopping mwaka gani.
Mafuta unajipaka ya kupikia mpk ukipita mtaani unafuatwa na mbwa wakidhani wewe ni kitoweo.
Ukicheza miaka yako 5 tu ktk mzunguko huu wa umaskini uliomaliza nao shule watakupiga shikamoo, maana utakuwa umefubaa, umechakaa na kuchoka. Sasa mpk mkayapate maisha miaka 10 au 15 utakuwaje??
Mkishayapata maisha mumeo lazima jicho lake litahamia kwa ving'asti ambao kucha zao hazijaathiriwa na mkaa. Sura zao zimetunzwa vema na lotion za Uturuki.
Hebu tafuteni wanaume wenye nazo ufikie kwenye maisha fulani ambayo hayatakufubaza. Achana na wenye subwoofer moja chumba kimoja cha kupanga halafu anataka ndoa na wewe.
Ni ushauri tu. Kama hutaki acha
hayo matatizo aliyo nayo hayajasababishwa na kukukataa weweYupo Mwanamke ambae nilikua nampenda , nikamwambia tuanzie chini....akaniona sifai....akaanza kuwatafuta wenye nazo.
Now ni single maza....ana ngoma na cancer juu....
Note: Hakuna mjanja awezaye kushindana na SHERIA ya asili pamoja muda. Mungu fundi!!
Yamesababishwa na nini?hayo matatizo aliyo nayo hayajasababishwa na kukukataa wewe
maisha tu mkuu....Yamesababishwa na nini?
Endekeza zinaa uone kama hutakutana na majanga kama hayo.maisha tu mkuu....
Unajifariji tu,hakikuwa na garantee ya yeye kuwa na good life bila wewe, isitoshe alikuwa na haki ya kukukataa manake hukuwa na vigezo vyake kwa wakati huo🙏Yupo Mwanamke ambae nilikua nampenda , nikamwambia tuanzie chini....akaniona sifai....akaanza kuwatafuta wenye nazo.
Now ni single maza....ana ngoma na cancer juu....
Note: Hakuna mjanja awezaye kushindana na SHERIA ya asili pamoja muda. Mungu fundi!!
Sasa mbona mpaka sasa hajampata Mwenye hela? Maisha ya kudanga...KILA kukicha kushinda hospital kusafishwa kidonda Ndugu...Unajifariji tu,hakikuwa na garantee ya yeye kuwa na good life bila wewe, isitoshe alikuwa na haki ya kukukataa manake hukuwa na vigezo vyake kwa wakati huo[emoji120]
🤣🤣Vipi blaza mbona umekuja kasi ukimuattack mleta mada?Nyie wanawake mliokwisha thamani mnapenda sana kudanganya wenzenu nao wazeeke bila watoto au ndoa, mnapenda kuona wanawake wenzenu wanaishia kujiita singo maza...
Hapo ulipo umeingia menopause na huna mategemeo ya kuolewa tena... Imeisha hiyo weee endelea kujiita dungaembe muda umekuacha, waache wanawake wenzio wenye akili wainjoi maisha na wanaume zao...
Wewe hapo una hela?tuanzie hapo 🤣Sasa mbona mpaka sasa hajampata Mwenye hela? Maisha ya kudanga...KILA kukicha kushinda hospital kusafishwa kidonda Ndugu...
Afu kuna wanaume wengine huwa siwaelewi kabisa....
Unawezaje kutembea na Mwanamke mwenye kidonda kikubwa namna ile? Au yale Matako yanawazuzua? Daah hatari sana!!!
Hapa nilipo nina Tsh1600/= tu pamoja na cent ya kigeni (cash). Unasemaje?Wewe hapo una hela?tuanzie hapo [emoji1787]
Tatizo wenye nazo nao hatupendi wanawake wa hovyo na masikiniMwanamke ni kama ua, lisipotunzwa linapoteza mvuto kabisa. Hivyo usidanganyike kuolewa na mchovu akaanza kukulaza chini kwenye mkeka, mnakaa sakafuni, mnapikia kuni au jiko la mkaa mpk kucha zinajaa masizi.
Saloon unakuwa unazipita tu kama kituo cha polisi maana wewe nywele husuki bali unakata kama shamba boy. Na hukumbuki mara ya mwisho ulienda shopping mwaka gani.
Mafuta unajipaka ya kupikia mpk ukipita mtaani unafuatwa na mbwa wakidhani wewe ni kitoweo.
Ukicheza miaka yako 5 tu ktk mzunguko huu wa umaskini uliomaliza nao shule watakupiga shikamoo, maana utakuwa umefubaa, umechakaa na kuchoka. Sasa mpk mkayapate maisha miaka 10 au 15 utakuwaje??
Mkishayapata maisha mumeo lazima jicho lake litahamia kwa ving'asti ambao kucha zao hazijaathiriwa na mkaa. Sura zao zimetunzwa vema na lotion za Uturuki.
Hebu tafuteni wanaume wenye nazo ufikie kwenye maisha fulani ambayo hayatakufubaza. Achana na wenye subwoofer moja chumba kimoja cha kupanga halafu anataka ndoa na wewe.
Ni ushauri tu. Kama hutaki acha
Wow! I like thisUkweli mtupu,binti mbichi unaenda geuzwa godoro la mtu kupunguzia stress za maisha,stuka binti usikubal mtu atumie ujana wako hovyo hovyo🙏
Amri ya kumi na moja inasema "usiwe maskini".Masikin tuna tabu sisi
Tofautisha uzuri na utanashati/ulimbwende.wewe sio lazima mwanamke asuke ili kua mzuri
Kabisa%Hili nalo Mkaliangalie.
Siyo kwasabb alikukukataa wewe. Usijipe umungu. Kwani wewe ni nani?Yupo Mwanamke ambae nilikua nampenda , nikamwambia tuanzie chini....akaniona sifai....akaanza kuwatafuta wenye nazo.
Now ni single maza....ana ngoma na cancer juu....
Note: Hakuna mjanja awezaye kushindana na SHERIA ya asili pamoja muda. Mungu fundi!!