EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Sexless can be a lesbianHuyu mtoa ushauri, msisahau, ni sexless!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sexless can be a lesbianHuyu mtoa ushauri, msisahau, ni sexless!
wewe ndio una maisha magumu unategemea kuuza K humu JF, unasumbua wanaume inbox kuomba omba hela na wakutoe out...Wanaume wenye maisha magumu mna hasira hatari. Makasiriko ya nn? Tafuta hela.
Ungejua nachangia hata kukufanya wewe uvae na kula usingesema hilowewe ndio una maisha magumu unategemea kuuza K humu JF, unasumbua wanaume inbox kuomba omba hela na wakutoe out...
Hili nalo ni tatizo la akili unahamasisha kutaka wanawake waanzishe mahusiano na wanaume wenye pesa kana kwamba matajiri wanagawa bure pesa kwa kila mwanamke mzuriMwanamke ni kama ua, lisipotunzwa linapoteza mvuto kabisa. Hivyo usidanganyike kuolewa na mchovu akaanza kukulaza chini kwenye mkeka, mnakaa sakafuni, mnapikia kuni au jiko la mkaa mpk kucha zinajaa masizi.
Saloon unakuwa unazipita tu kama kituo cha polisi maana wewe nywele husuki bali unakata kama shamba boy. Na hukumbuki mara ya mwisho ulienda shopping mwaka gani.
Mafuta unajipaka ya kupikia mpk ukipita mtaani unafuatwa na mbwa wakidhani wewe ni kitoweo.
Ukicheza miaka yako 5 tu ktk mzunguko huu wa umaskini uliomaliza nao shule watakupiga shikamoo, maana utakuwa umefubaa, umechakaa na kuchoka. Sasa mpk mkayapate maisha miaka 10 au 15 utakuwaje??
Mkishayapata maisha mumeo lazima jicho lake litahamia kwa ving'asti ambao kucha zao hazijaathiriwa na mkaa. Sura zao zimetunzwa vema na lotion za Uturuki.
Hebu tafuteni wanaume wenye nazo ufikie kwenye maisha fulani ambayo hayatakufubaza. Achana na wenye subwoofer moja chumba kimoja cha kupanga halafu anataka ndoa na wewe.
Ni ushauri tu. Kama hutaki acha
Mm nawaonya wanawake waepuke kuingia kwenye ndoa na mwanaume maskini. Watapata taabu na watazeeka mapema.Hili nalo ni tatizo la akili unahamasisha kutaka wanawake waanzishe mahusiano na wanaume wenye pesa kana kwamba matajiri wanagawa bure pesa kwa kila mwanamke mzuri
Ni Ajabu sana, Wanawake wanataka Wanaume wakiwa na Hela wawathamini...
Na wakati Wanaume walipokuwa hawana Hela hawakuthaminiwa na Wanawake...
Mwanaume ambae hakuthaminiwa alipokuwa Fukara akipata Pesa ni ngumu kumthamini Mwanamke...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ujataja aina ya subwoofer ila nalo litazamwe kwa ukaribu
Hilo nalo hawaliangalii ukute huyu mwenyewe ni yalimkuta akadhan kila wanaoanza kwenye umaskin wanabadlikaHuyu mtoa ushauri, msisahau, ni sexless!