Even MOre
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 204
- 298
Kwa walio fuatilia mdahalo huu ambao umetamatika usiku huu, binafsi haya ndiyo niliyofaelewa kutoka kwa wawakilishi wa wagombea wa nafasi ya Uenyekiti Chadema Taifa.
1. Wawakilishi Team Mbowe ambao ni Yeriko Nyerere na Emanuel Ntobi kwa upande wao nimeona wanapigania uwepo wa Mbowe tu katika Uongozi wa Mwenyekiti Chadema Taifa na si mtu mwingine kwa michanganuo ya majibu yao.
2. Wawakilishi wa Team Lisu ambao ni Gervas Lyenda na Gwamaka ambao wamesisitiza mara kadhaa katika majibu yao kuwa wanahitaji kiongozi atakae jenga Taasisi imara ya Chamakitakachoweza kujisimamia Kisiasa, Kiuchumi na Kijamii pamsipo kutegemea uwepo wa mtu mmjoa kwenye chama aweze kuendesha chama.
Kwa walio ng'amua zaidi, Comment yako muhimu