MDAHALO CHADEMA: Matokeo Team Mbowe vs Team Lissu

MDAHALO CHADEMA: Matokeo Team Mbowe vs Team Lissu

Timu gani imefanya vizuri kwenye Mdahalo

  • Team Mbowe

  • Team Lissu

Results are only viewable after voting.
uongozi unahitaji hekima na busara! lisu hana chochote kati ya ivi
 
Team lissu Wako vizuri kama lissu mwenyewe, wanajenga hoja vizuri.Team mbowe hawana kitu zaidi ya maneno ya kuokoteza, nime mwona Ntobi na Nyerere ni shida Yaani dah
Bro, mtu anaweza akawa mzuri sana kichwani...

Mtu anaweza kuwa ameenda shule vizuri na kupata accreditation ya PhD kwa mfano...

Lakini mtu huyu akipewa kazi ya kutetea kinyesi kuwa ni ugali uliolala unaofaa kuliwa, bila shaka atapata taabu kweli kuwashawishi watu wamwelewe...

Ndivyo watu wa Team Freeman Mbowe walivyo. Wanatetea kisichoteteeka kwa nyakati hizi...

Na tatizo ni moja tu, rushwa ya Abdul na Mama yake imechukua akili na ufahamu wao kiasi cha kubaki wajinga na watupu kabisa...

Kumbuka: RUSHWA HUPOFUA UFAHAMU WA VIONGOZI. Ndivyo walivyo Mbowe mwenyewe na wafuasi wake wanaomuunga mkono hawa kina Yericko Nyerere na Emmanuel Ntobi...
 
Hapo ndio tunaona fikra za wasomi wetu wako tayari kuweka rehani Elimu yao na kutetea jambo kama watu wasio na elimu.
 
Kwa walio fuatilia mdahalo huu ambao umetamatika usiku huu, binafsi haya ndiyo niliyofaelewa kutoka kwa wawakilishi wa wagombea wa nafasi ya Uenyekiti Chadema Taifa.

1. Wawakilishi Team Mbowe ambao ni Yeriko Nyerere na Emanuel Ntobi kwa upande wao nimeona wanapigania uwepo wa Mbowe tu katika Uongozi wa Mwenyekiti Chadema Taifa na si mtu mwingine kwa michanganuo ya majibu yao.

2. Wawakilishi wa Team Lisu ambao ni Gervas Lyenda na Gwamaka ambao wamesisitiza mara kadhaa katika majibu yao kuwa wanahitaji kiongozi atakae jenga Taasisi imara ya Chamakitakachoweza kujisimamia Kisiasa, Kiuchumi na Kijamii pamsipo kutegemea uwepo wa mtu mmjoa kwenye chama aweze kuendesha chama.

Kwa walio ng'amua zaidi, Comment yako muhimu
wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa wanawacheka sana hao wangwana aise dah! 🐒
 
Inawezekana maana siasa za Africa ni za kipekee duniani
kitazama kwa jicho la kisiasa utagundua na kuona kwamba mapambano ni kati ya utulivu, hekima na busara Vs makelele, mdomo na fujo 🐒
 
kitazama kwa jicho la kisiasa utagundua na kuona kwamba mapambano ni kati ya utulivu, hekima na busara Vs makelele, mdomo na fujo 🐒
Sasa hapo tutegemee matokeo mazuri endapo kwa upande wowote ikiwa uchaguzi utakuwa huru na haki
 
Back
Top Bottom