MDAHALO CHADEMA: Matokeo Team Mbowe vs Team Lissu

MDAHALO CHADEMA: Matokeo Team Mbowe vs Team Lissu

Timu gani imefanya vizuri kwenye Mdahalo

  • Team Mbowe

  • Team Lissu

Results are only viewable after voting.
Hawa sio kwamba hawajakomaa bali ni wafanyabiashara kwenye siasa….we unahis hawa wanaweza ingia mikataba yenye usawa kati ya nchi na nchi au nchi na mashirika makubwa ya biashara….ni rahis mno hawa kuhongwa na mambo kua mabaya zaidi ya hawa Ccm!! Watu ambao Ccm inawanunua kila sku ndo uwape nchi?? Seriously?
Hoja yako iko sawa lakini umejibu generally sana, ndo maana wanahitaji mtu mwingine akiongoze chama ili kujenga mfumo imara wa kichama na uongozi ikiwa pamoja na upinzani imara
 
Hoja yako iko sawa lakini umejibu generally sana, ndo maana wanahitaji mtu mwingine akiongoze chama ili kujenga mfumo imara wa kichama na uongozi ikiwa pamoja na upinzani imara
Mkuu tunaongelea upinzani Generally…Cdm,Act,cuf and the likes…They are not ready and they will never be ….Had hiki kizazi cha 1970s,1980s,vitoke madarakani!
 
Uko sawa lakini kwa sasa mada iliyopo mezani ni kuhusu uchaguzi wa Chadema ngazi ya Taifa ili kupata kiongozi mbadala au kuendelea na aliyepo kwa sasa.
Mkuu tunaongelea upinzani Generally…Cdm,Act,cuf and the likes…They are not ready and they will never be ….Had hiki kizazi cha 1970s,1980s,vitoke madarakani
 
Wajumbe hatuangalii sera bali mwenyekiti aliyepo aendelee sawa na uchaguzi mkuu chama kilichopo madarakani kinatangazwa
 
Kwa walio fuatilia mdahalo huu ambao umetamatika usiku huu, binafsi haya ndiyo niliyofaelewa kutoka kwa wawakilishi wa wagombea wa nafasi ya Uenyekiti Chadema Taifa.

1. Wawakilishi Team Mbowe ambao ni Yeriko Nyerere na Emanuel Ntobi kwa upande wao nimeona wanapigania uwepo wa Mbowe tu katika Uongozi wa Mwenyekiti Chadema Taifa na si mtu mwingine kwa michanganuo ya majibu yao.

2. Wawakilishi wa Team Lisu ambao ni Gervas Lyenda na Gwamaka ambao wamesisitiza mara kadhaa katika majibu yao kuwa wanahitaji kiongozi atakae jenga Taasisi imara ya Chamakitakachoweza kujisimamia Kisiasa, Kiuchumi na Kijamii pamsipo kutegemea uwepo wa mtu mmjoa kwenye chama aweze kuendesha chama.

Kwa walio ng'amua zaidi, Comment yako muhimu
"CHADEMA ilianzishwa mwaka 2019" - Ntobi.
Mbowe kafanya upuuzi mkubwa kuwakilishwa na hawa vilaza. Mtu kutokuwa na akili sio tatizo ila kutokuwa na akili halafu mfupi ni janga kubwa sana. Yeriko jitathmini.
 
Kumekucha sasa, Mama Samia si ndo mnataka FAM aendelee sasa wawakilishi wenu wamekuwaje vilaza😁😁
 
Kwa sasa CHADEMA inamuhitaji sana LISSU kuliko MBOWE a.k.a Museveni
Tatizo upande wa Lissu wanataka ku grab madaraka bila kupitia sanduku la kura.Wanataka kula bila kunawa.
Kama issue ni Mbowe hatakikani kuongoza si sanduku la kula litaamua?Wasiwasi wa nini?

Upande wa Mbowe wako tiyari kufanya uchaguzi kupitia sanduku la kula.Wajumbe wapiga kura ndio waamue.Lakini wanakubali hawakufanikiwa kupata katiba mpya ambayo ndio msingi wa utawala bora.

Lissu team ni wale loosers wenye hidden agenda wanaotaka kufanya mapinduzi.
Akina pangu pakavu tia mchuzi.
Hawa ni kama Sandista Urban gorilla wa Nikaragua they will promise you honey but might supply you with Sulphuric acid as a tea supplement.
 
sawa tusubiri kura zitaamua
Mbowe ana mtaji wa wapiga kura kwahiyo lazima ashinde. Ni kweli wawakilishi wa jana ni vilaza

Tatizo upande wa Lissu wanataka ku grab madaraka bila kupitia sanduku la kura.Wanataka kula bila kunawa.
Kama issue ni Mbowe hatakikani kuongoza si sanduku la kula litaamua?Wasiwasi wa nini?

Upande wa Mbowe wako tiyari kufanya uchaguzi kupitia sanduku la kula.Wajumbe wapiga kura ndio waamue.Lakini wanakubali hawakufanikiwa kupata katiba mpya ambayo ndio msingi wa utawala bora.

Lissu team ni wale loosers wenye hidden agenda wanaotaka kufanya mapinduzi.
Akina pangu pakavu tia mchuzi.
Hawa ni kama Sandista Urban gorilla wa Nikaragua they will promise you honey but might supply you with Sulphuric acid as a tea supplement.
Ulifuatilia mdahalo lakini au ni hoja zako binafsi?
 
Weka mawazo yako sawia na msimamo wako, ukielezea sababu yako.
1. Sina upande
2. Natamani tuwe fair pande zote mbili.
3. Ningetamani Lissu awe mwenyekiti mpya.
4. Naheshimu decision ya Mbowe kugombea, maana ni kwa mujibu wa katiba yao.
5. Whoever, atakayechaguliwa namtakia heri, na vision ya kuijenga Chadema bora.
 
Hayo ndio maoni ya wazi sasa na masimamo unaoeleweka mkuu
 
Back
Top Bottom