MDAHALO CHADEMA: Matokeo Team Mbowe vs Team Lissu

MDAHALO CHADEMA: Matokeo Team Mbowe vs Team Lissu

Timu gani imefanya vizuri kwenye Mdahalo

  • Team Mbowe

  • Team Lissu


Results are only viewable after voting.
HAJAWAHI kutokea mtu maskini na mwenye roho mbaya kama Lissu akajenga taasisi imara kiuchumi. Kama yupo tupeane updates.
Mkuu Taasisi ni watu na watu lazima awepo mtu mwenye vision wa kuwaongoza ili kuifanya Taasisi iwe imara na Taasisi sio mtu mmoja
 
Hii ndio Demokrasia ambayo inatakiwa kuigwa na vyama vingine kuwe na midahalo ya wazi kuweza kujua uwezo wa wagombea wetu
Hawa Chadema ni kama ndio wanazidi kujichimbia kaburi,tumeshawajua undani wao..hakuna cha upinzani nchi hii..
 
Team Mbowe ni vilaza weupe kichwani, hawaelezi sera za mgombea wao
Mgombea wa uongozi wa chama cha siasa anatoa wapi sera zake? Ni hatari kuwa na mgombea mwenye sera zake wakati chama kina sera zilizokubaliwa na wanachama Kwa ujumla
 
Co
Mimi nimefuatilia kwa Makini sana timu zote mbili na nimegundua vitu vifuatavyo
1.Timu mbowe wao walijipanga mda mrefu na walikuwa na lasilimali fedha ambazo walikuwa wanazitegemea kuwa zinaweza kumaliza kila kitu na mpaka uchaguzi wa ndani wa chama ngazi za chini unaisha walikuwa hawana wasi wasi yoyote.
2.Kwanza ieleweke kuwa hakukuwa na timu Lisu ila kulikua na baadhi ya wanachama kama Msigwa walio Jaribu kumshawishi Lisu agombee wenyekiti Lisu akagoma kwasababu alijua kabisa hawezi kugombea uwenyekiti bila kushauriana na Mbowe na kwakuwa hawajashauriana, awezi kujiingiza kichwa kichwa kwa kua ubavu huo hana.
3.Ndani ya chama kulikuwa na watu wengi ambao wameumizwa na timu mbowe na wengi walikuwa Aidha wametolewa kwenye uongozi au wamebaki kwa kudra za Mungu lakini wakiwa hawana huhakika na mstakabali wao mzima kwenye chama.
4.Sasa cheza la kihindi linaanzia hapa. Lisu hakuwa na wasiwasi wowote wakutetea Heo chake cha umakamu kwani alidhani kuwa mwenyekiti bado ni yule yule wasiku zote aliyempigania apate cheo hicho huku akiwa nje ya nchi kumbe mwenyekiti wa sasa ingawa ni yule yule lakini ni mtu wa Mlengo mwine kabisa na kulikuwa na mipango mingi ya chinichini ya kumuengua bila yeye kujua. Ilikuwa inafanyika kwa siri na taadhari kubwa sana.
5.Sasa hapa ndipo ilipoibuka timu Lisu watu wenye Akili wenye ushawishi na mikakati na kumtaadhalisha Lisu kama Vile modukai alivyo mtaadhalisha Ester kuwa hata wewe haupo salama hapo ulipo Butua utuokoe na sisi na ukikosa huna cha kupoteza kwasababu hata uo umakama pia huwezi kuupata sisi tutjaribu kadiri ya uwezo wetu kukupigia debe lakini, mipango iliyopo kwa sasa nikukung'oa kwenye hiyo na fasi na kumpa hasimu wako aliye zuka ghafla.
6.Lisu mara ya kwanza hakuamini alidhani ni watu wanao taka kumchonganisha na FAM lakini alipounganisha Doti akagundua kwa sasa kuna Gap kubwa sana kati yake na FAM. Kwahiyo akawa na mambo mawili ya kuchagua Aidha Aendelee kugombea Umakamu, Au agombee uenyekiti au Asigombee chochote atafute shughuli nyingine abaki kama mwanachama wa kawaida.
6.Timu ya ushawishi ikaundwa kwa mda Mfupi na kumshauri achukue form ya uenyekiti na wao watasaidia kwa nguvu zote kuwashawishi wajumbe wabadilike elewa mpaka hapo wajumbe wote walikuwa wanajua Mbowe hana mshindani wa maana kwahiyo kwenye swala la mwenyekiti Mbowe hana mpinzani ila wajumbe walikuwa Dailema nafasi ya makamu kwani Wenje na Lisu wote watu wazito ndani ya Chama lakini Wenje alikuwa anapigiwa Debe na mwenyekiti kwahiyo kwahiyo wajumbe wengi walikuwa njia panda, Wajumbe wengi walikuwa bado wana imani na Lisu kwenye nafasi ya Umakamu lakini walikuwa wanafosiwa na team FAM wamchague Wenje.
7.Kwahiyo wajumbe hawakuwa na Ugomvi wowote na Lisu kwenye nafasi ya Umakamu ila kutokana na Nguvu za FAM walikuwa kama wameparase wasijue lakufanya.
8.Sasa Lisu alipo amua kuchukua Form ya Uenyekiti Timu FAM ilikuwa haijajiandaa Kupambana na Lisu kwenye Nafasi ya uenyekiti timu FAM ikapata shock na ikawa imeshaharibiwa Target zake huku timu Lisu ikiwa imeshajipanga kushambulia kwa kila silaha iliyo nayo timu FAM ikabidi ikae chini kujipanga upya lakini ikashtuka timu Lisu inashambulia Pentagon na inasilaha duni lakini inawapiganaji wenye Hari.
9.siwezi kukisia Mapambano haya mwisho wake ni upi ila unapaswa kujua Wajumbe wengi bafo walikuwa na imani na Lisu ktk nafasi ya umakamu pamoja na kushawishiwa. Wajumbe karibia wote hawakuwa wamejiandaa Kisaikolojia kumbadilisha mwenyekiti kwenye uchaguzi huu ingawa hawakuwa na jibu la moja kwa moja mbadala wa Mwenyekiti ni nani.
10.Kwa hiyo kwakuwa kundi la Farm lilikuwa linauhakika nafasi ya mwenyekiti haina mpinzani haikuweka weledi wowote wakupambana na team yoyote kwenye upande wa mwenyekiti kwahiyo ilitengenezwa team ya mazezeta kupambana na Lisu kwenye nafasi ya umakamu.
11.Kwakuwa team ya Tundu Lisu ilikuwa inajua ina pambana na mwenyekiti ambaye yupo mmadarakani na ana kila Aina ya nguvu, kuanzia fedha, watu, imani ilibidi kutengeneza team yenye watu wenye Akili kubwa na ushawishi hapo ndpo unapoona team ya FAM inapooza na team ya LISU inachangamka team ya Lisu inapigana kufa na kupona kwa sababu imefika Point no turn back Aidha upambane ushinde au ufie hapo hapo.
12.Nini madhara ya hii vita ya mafahali wawili? Matokeo yake ni Mabaya sana kwasababu tayari kwenye Chama kumeshatokea Makundi mawili, Kundi la wanaopambana ili wanufaike moja kwa moja na kundi la wakunja ngumi au kwa jina lingine wabangaizaji ambao wao matumaini yao makubwa kuwe na chama cha upinzani chenye nguvu. Wabangaizaji na wakunja ngumi wengi wapo upande wa Lisu na watu ambao wapo kwa ajili ya frusa wapo upande wa Farm. Huu mpasuko kuunga baada ya uchaguzi mmoja akishindwa ni vigumu sana. Busara inapaswa kufikiwa mda huu kabla ya uchaguzi la sivyo chama kinaweza kumeguka pande mbili na zote zikawa na nguvu.
Quoted : "Timu Lisu wanasilaha butu lakini wana wapambanaji wenye ari"
 
Mm nimewasikiliza ,HAWA watu hawana hoja kabisa, wanapersonal attack, kuwa lisu ni masikini, lisu anatoa siri,sis tumejenga CHAMA lisu alikuwa ubeligiji, lisu hana wapiga kura ndani ya mkutano na upande wa team Lisu , ukiwasikiliza kwa makin utajua kuwa HAWA wanahoja, kwa ajili ya masilai ya CHAMA
NB Mbowe amekosa team mzuri, watu wake wamekosa hoja, busara, wana over confidence hawana hekima, pia wanakichafua chama, ni muhimu Mbowe abadilishe team yake.
Kwa upande wangu nimeona kuwa kuwa Yeriko na Ntobi wanaelewa kabisa ukweli kuhusu kwa sasa Chama kinapaswa kuongozwa na mtu mwingine atakayeleta mabadiliko ya Kimfumo ndani ya chama.
 
Mm nimewasikiliza ,HAWA watu hawana hoja kabisa, wanapersonal attack, kuwa lisu ni masikini, lisu anatoa siri,sis tumejenga CHAMA lisu alikuwa ubeligiji, lisu hana wapiga kura ndani ya mkutano na upande wa team Lisu , ukiwasikiliza kwa makin utajua kuwa HAWA wanahoja, kwa ajili ya masilai ya CHAMA
NB Mbowe amekosa team mzuri, watu wake wamekosa hoja, busara, wana over confidence hawana hekima, pia wanakichafua chama, ni muhimu Mbowe abadilishe team yake.
Kwa upande wangu nimeona kuwa kuwa Yeriko na Ntobi wanaelewa kabisa ukweli kuhusu kwa sasa Chama kinapaswa kuongozwa na mtu mwingine atakayeleta mabadiliko ya Kimfumo ndani ya chama.
 
Wenye akili wachache ndio wameibeba CDM lakini huenda kuna vilaza wengi Sana. Ntobi amewezaje Kuwa mwenyekiti wa Chama mkoa tena mara mbili?.
Ndio mjue uchaguzi wa kiongozi wa siasa haufanyiki kwenye keyboard au online polls
 
Mkuu tumia akili kuliko hisia ….hz sio zama za wakoloni na kudai uhuru.!
Nasemaje ikija hoja kwamba upinzani Bado haujakomaa hivyo hatuwezi kuwakabidhi Nchi nikwamba hoja hizo pia Wakoloni walisema kwamba Waafrika hawajakomaa kukabidhiwa Nchi
 
Nasemaje ikija hoja kwamba upinzani Bado haujakomaa hivyo hatuwezi kuwakabidhi Nchi nikwamba hoja hizo pia Wakoloni walisema kwamba Waafrika hawajakomaa kukabidhiwa Nchi
Hawa sio kwamba hawajakomaa bali ni wafanyabiashara kwenye siasa….we unahis hawa wanaweza ingia mikataba yenye usawa kati ya nchi na nchi au nchi na mashirika makubwa ya biashara….ni rahis mno hawa kuhongwa na mambo kua mabaya zaidi ya hawa Ccm!! Watu ambao Ccm inawanunua kila sku ndo uwape nchi?? Seriously?
 
Kabisa kama Nchi tukiwa na mentality ya aina hii hatutakuja kufanya mabadiliko ya Kiuongozi kabisa
Nasemaje ikija hoja kwamba upinzani Bado haujakomaa hivyo hatuwezi kuwakabidhi Nchi nikwamba hoja hizo pia Wakoloni walisema kwamba Waafrika hawajakomaa kukabidhiwa Nchi
 
😃😃😃
Team FAM walikuwa wamekula konyagi za kutosha. Aisee wamezidi kumuharibia na Wajumbe Wapiga Kura wanazidi kujionea wapi pa kupeleka kura zao
 
Back
Top Bottom