Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We unaona hiko chama knapaswa kuongiza Nchi?! Be honestly with your heart!Kivipi mkuu
Kwa sasa CHADEMA inamuhitaji sana LISSU kuliko MBOWE a.k.a MuseveniKwa walio fuatilia mdahalo huu ambao umetamatika usiku huu, binafsi haya ndiyo niliyofaelewa kutoka kwa wawakilishi wa wagombea wa nafasi ya Uenyekiti Chadema Taifa.
1. Wawakilishi Team Mbowe ambao ni Yeriko Nyerere na Emanuel Ntobi kwa upande wao nimeona wanapigania uwepo wa Mbowe tu katika Uongozi wa Mwenyekiti Chadema Taifa na si mtu mwingine kwa michanganuo ya majibu yao.
2. Wawakilishi wa Team Lisu ambao ni Gervas Lyenda na Gwamaka ambao wamesisitiza mara kadhaa katika majibu yao kuwa wanahitaji kiongozi atakae jenga Taasisi imara ya Chamakitakachoweza kujisimamia Kisiasa, Kiuchumi na Kijamii pamsipo kutegemea uwepo wa mtu mmjoa kwenye chama aweze kuendesha chama.
Kwa walio ng'amua zaidi, Comment yako muhimu
Hapo ndo utajua mwenye akili na mjinga tofauti ya majibu huwa yakoje 😁Odemba: Je endapo Mbowe atachaguliwa kuwa mwenyekiti utamuunga mkono??
Gwamaka: Kama atashinda kihalali nitamuunga mkono.
Lyenda: Ndio nitamuunga mkono
Odemba: Je Lisu endapo Lisu atachaguliwa kuwa mwenyekiti utamuunga mkono??
Yericko: Hawezi kushinda yule
Ntobi: Itakuwa ngumu Lisu kushinda, ila akishinda nitamuunga mkono.
Nitajie viongozi kumi tu wa kueleweka walioko huko!!!!Ndio kwa upande wangu sababu kina watu wenye uwezo Kiuongozi japo nia thabiti ya wachache wenye njaa ndo inakwamisha mchakato na kuonekana wote hawafai.
Hii kauli itakuja kumgharimu mbowe😂Lissu hana wapiga kura(ana keyboard warriors etc)
Mbowe anao wapiga kura🤔
Concl
Siasa ni ngumu sana😂😂😂
Yeriko, Ntobi kama ndo think tank ya Mbowe kazi ipo, hamna kitu paleKwa walio fuatilia mdahalo huu ambao umetamatika usiku huu, binafsi haya ndiyo niliyofaelewa kutoka kwa wawakilishi wa wagombea wa nafasi ya Uenyekiti Chadema Taifa.
1. Wawakilishi Team Mbowe ambao ni Yeriko Nyerere na Emanuel Ntobi kwa upande wao nimeona wanapigania uwepo wa Mbowe tu katika Uongozi wa Mwenyekiti Chadema Taifa na si mtu mwingine kwa michanganuo ya majibu yao.
2. Wawakilishi wa Team Lisu ambao ni Gervas Lyenda na Gwamaka ambao wamesisitiza mara kadhaa katika majibu yao kuwa wanahitaji kiongozi atakae jenga Taasisi imara ya Chamakitakachoweza kujisimamia Kisiasa, Kiuchumi na Kijamii pamsipo kutegemea uwepo wa mtu mmjoa kwenye chama aweze kuendesha chama.
Kwa walio ng'amua zaidi, Comment yako muhimu
Sio kumgharimu….wapga kura huko kwenye Saccos wanajukikana idadi na majna yao.Hii kauli itakuja kumgharimu mbowe😂
Loh! Kumbe Ntobi na Yeriko ni vichwa maboga. Hawana uwezo wa kuelewa hata swali.Odemba: Je endapo Mbowe atachaguliwa kuwa mwenyekiti utamuunga mkono??
Gwamaka: Kama atashinda kihalali nitamuunga mkono.
Lyenda: Ndio nitamuunga mkono
Odemba: Je Lisu endapo Lisu atachaguliwa kuwa mwenyekiti utamuunga mkono??
Yericko: Hawezi kushinda yule
Ntobi: Itakuwa ngumu Lisu kushinda, ila akishinda nitamuunga mkono.
Lissu anaweza kukatwaHii kauli itakuja kumgharimu mbowe😂
Sera ya Mbowe ni kukunja ngumi tu.Kwani mbowe ana sera zaidi ya Ile ya kutaka astaafu akiwa na miaka 68?
Team Mbowe ni vilaza weupe kichwani, hawaelezi sera za mgombea wao
Lissu hilo halisemi popoteKwamba maridhiano yalifanikisha Lissu kurudishiwa uwakili wake
Team Mbowe wanasisitiza kwamba Mwenyekiti awe na uwezo wa Kifedha, Mbangaizaji hapana!!!! 😳Kwa walio fuatilia mdahalo huu ambao umetamatika usiku huu, binafsi haya ndiyo niliyofaelewa kutoka kwa wawakilishi wa wagombea wa nafasi ya Uenyekiti Chadema Taifa.