Kwahiyo unataka tuendelee na CCM inayotaka masikini tukomboe maiti ila matajiri watibiwe bure?We unaona hiko chama knapaswa kuongiza Nchi?! Be honestly with your heart!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo unataka tuendelee na CCM inayotaka masikini tukomboe maiti ila matajiri watibiwe bure?We unaona hiko chama knapaswa kuongiza Nchi?! Be honestly with your heart!
HAJAWAHI kutokea mtu maskini na mwenye roho mbaya kama Lissu akajenga taasisi imara kiuchumi. Kama yupo tupeane updates.Kwa walio fuatilia mdahalo huu ambao umetamatika usiku huu, binafsi haya ndiyo niliyofaelewa kutoka kwa wawakilishi wa wagombea wa nafasi ya Uenyekiti Chadema Taifa.
1. Wawakilishi Team Mbowe ambao ni Yeriko Nyerere na Emanuel Ntobi kwa upande wao nimeona wanapigania uwepo wa Mbowe tu katika Uongozi wa Mwenyekiti Chadema Taifa na si mtu mwingine kwa michanganuo ya majibu yao.
2. Wawakilishi wa Team Lisu ambao ni Gervas Lyenda na Gwamaka ambao wamesisitiza mara kadhaa katika majibu yao kuwa wanahitaji kiongozi atakae jenga Taasisi imara ya Chamakitakachoweza kujisimamia Kisiasa, Kiuchumi na Kijamii pamsipo kutegemea uwepo wa mtu mmjoa kwenye chama aweze kuendesha chama.
Kwa walio ng'amua zaidi, Comment yako muhimu
Mawazo ya ki- Ntobi haya.Team lisssu wanaandikiwa na maria space cha kusema
Fedha za kununua wajumbe au?Team Mbowe wanasisitiza kwamba Mwenyekiti awe na uwezo wa Kifedha, Mbangaizaji hapana!!!! 😳
Wana mihemuko sanaLoh! Kumbe Ntobi na Yeriko ni vichwa maboga. Hawana uwezo wa kuelewa hata swali.
Hujui dunia weweHawa Chadema ni kama ndio wanazidi kujichimbia kaburi,tumeshawajua undani wao..hakuna cha upinzani nchi hii..
Mimi nimefuatilia kwa Makini sana timu zote mbili na nimegundua vitu vifuatavyoKwa walio fuatilia mdahalo huu ambao umetamatika usiku huu, binafsi haya ndiyo niliyofaelewa kutoka kwa wawakilishi wa wagombea wa nafasi ya Uenyekiti Chadema Taifa.
1. Wawakilishi Team Mbowe ambao ni Yeriko Nyerere na Emanuel Ntobi kwa upande wao nimeona wanapigania uwepo wa Mbowe tu katika Uongozi wa Mwenyekiti Chadema Taifa na si mtu mwingine kwa michanganuo ya majibu yao.
2. Wawakilishi wa Team Lisu ambao ni Gervas Lyenda na Gwamaka ambao wamesisitiza mara kadhaa katika majibu yao kuwa wanahitaji kiongozi atakae jenga Taasisi imara ya Chamakitakachoweza kujisimamia Kisiasa, Kiuchumi na Kijamii pamsipo kutegemea uwepo wa mtu mmjoa kwenye chama aweze kuendesha chama.
Kwa walio ng'amua zaidi, Comment yako muhimu
Hongera mkuu, umefanya uchambuzi makini sanaMimi nimefuatilia kwa Makini sana timu zote mbili na nimegundua vitu vifuatavyo
1.Timu mbowe wao walijipanga mda mrefu na walikuwa na lasilimali fedha ambazo walikuwa wanazitegemea kuwa zinaweza kumaliza kila kitu na mpaka uchaguzi wa ndani wa chama ngazi za chini unaisha walikuwa hawana wasi wasi yoyote.
2.Kwanza ieleweke kuwa hakukuwa na timu Lisu ila kulikua na baadhi ya wanachama kama Msigwa walio Jaribu kumshawishi Lisu agombee wenyekiti Lisu akagoma kwasababu alijua kabisa hawezi kugombea uwenyekiti bila kushauriana na Mbowe na kwakuwa hawajashauriana, awezi kujiingiza kichwa kichwa kwa kua ubavu huo hana.
3.Ndani ya chama kulikuwa na watu wengi ambao wameumizwa na timu mbowe na wengi walikuwa Aidha wametolewa kwenye uongozi au wamebaki kwa kudra za Mungu lakini wakiwa hawana huhakika na mstakabali wao mzima kwenye chama.
4.Sasa cheza la kihindi linaanzia hapa. Lisu hakuwa na wasiwasi wowote wakutetea Heo chake cha umakamu kwani alidhani kuwa mwenyekiti bado ni yule yule wasiku zote aliyempigania apate cheo hicho huku akiwa nje ya nchi kumbe mwenyekiti wa sasa ingawa ni yule yule lakini ni mtu wa Mlengo mwine kabisa na kulikuwa na mipango mingi ya chinichini ya kumuengua bila yeye kujua. Ilikuwa inafanyika kwa siri na taadhari kubwa sana.
5.Sasa hapa ndipo ilipoibuka timu Lisu watu wenye Akili wenye ushawishi na mikakati na kumtaadhalisha Lisu kama Vile modukai alivyo mtaadhalisha Ester kuwa hata wewe haupo salama hapo ulipo Butua utuokoe na sisi na ukikosa huna cha kupoteza kwasababu hata uo umakama pia huwezi kuupata sisi tutjaribu kadiri ya uwezo wetu kukupigia debe lakini, mipango iliyopo kwa sasa nikukung'oa kwenye hiyo na fasi na kumpa hasimu wako aliye zuka ghafla.
6.Lisu mara ya kwanza hakuamini alidhani ni watu wanao taka kumchonganisha na FAM lakini alipounganisha Doti akagundua kwa sasa kuna Gap kubwa sana kati yake na FAM. Kwahiyo akawa na mambo mawili ya kuchagua Aidha Aendelee kugombea Umakamu, Au agombee uenyekiti au Asigombee chochote atafute shughuli nyingine abaki kama mwanachama wa kawaida.
6.Timu ya ushawishi ikaundwa kwa mda Mfupi na kumshauri achukue form ya uenyekiti na wao watasaidia kwa nguvu zote kuwashawishi wajumbe wabadilike elewa mpaka hapo wajumbe wote walikuwa wanajua Mbowe hana mshindani wa maana kwahiyo kwenye swala la mwenyekiti Mbowe hana mpinzani ila wajumbe walikuwa Dailema nafasi ya makamu kwani Wenje na Lisu wote watu wazito ndani ya Chama lakini Wenje alikuwa anapigiwa Debe na mwenyekiti kwahiyo kwahiyo wajumbe wengi walikuwa njia panda, Wajumbe wengi walikuwa bado wana imani na Lisu kwenye nafasi ya Umakamu lakini walikuwa wanafosiwa na team FAM wamchague Wenje.
7.Kwahiyo wajumbe hawakuwa na Ugomvi wowote na Lisu kwenye nafasi ya Umakamu ila kutokana na Nguvu za FAM walikuwa kama wameparase wasijue lakufanya.
8.Sasa Lisu alipo amua kuchukua Form ya Uenyekiti Timu FAM ilikuwa haijajiandaa Kupambana na Lisu kwenye Nafasi ya uenyekiti timu FAM ikapata shock na ikawa imeshaharibiwa Target zake huku timu Lisu ikiwa imeshajipanga kushambulia kwa kila silaha iliyo nayo timu FAM ikabidi ikae chini kujipanga upya lakini ikashtuka timu Lisu inashambulia Pentagon na inasilaha duni lakini inawapiganaji wenye Hari.
9.siwezi kukisia Mapambano haya mwisho wake ni upi ila unapaswa kujua Wajumbe wengi bafo walikuwa na imani na Lisu ktk nafasi ya umakamu pamoja na kushawishiwa. Wajumbe karibia wote hawakuwa wamejiandaa Kisaikolojia kumbadilisha mwenyekiti kwenye uchaguzi huu ingawa hawakuwa na jibu la moja kwa moja mbadala wa Mwenyekiti ni nani.
10.Kwa hiyo kwakuwa kundi la Farm lilikuwa linauhakika nafasi ya mwenyekiti haina mpinzani haikuweka weledi wowote wakupambana na team yoyote kwenye upande wa mwenyekiti kwahiyo ilitengenezwa team ya mazezeta kupambana na Lisu kwenye nafasi ya umakamu.
11.Kwakuwa team ya Tundu Lisu ilikuwa inajua ina pambana na mwenyekiti ambaye yupo mmadarakani na ana kila Aina ya nguvu, kuanzia fedha, watu, imani ilibidi kutengeneza team yenye watu wenye Akili kubwa na ushawishi hapo ndpo unapoona team ya FAM inapooza na team ya LISU inachangamka team ya Lisu inapigana kufa na kupona kwa sababu imefika Point no turn back Aidha upambane ushinde au ufie hapo hapo.
12.Nini madhara ya hii vita ya mafahali wawili? Matokeo yake ni Mabaya sana kwasababu tayari kwenye Chama kumeshatokea Makundi mawili, Kundi la wanaopambana ili wanufaike moja kwa moja na kundi la wakunja ngumi au kwa jina lingine wabangaizaji ambao wao matumaini yao makubwa kuwe na chama cha upinzani chenye nguvu. Wabangaizaji na wakunja ngumi wengi wapo upande wa Lisu na watu ambao wapo kwa ajili ya frusa wapo upande wa Farm. Huu mpasuko kuunga baada ya uchaguzi mmoja akishindwa ni vigumu sana. Busara inapaswa kufikiwa mda huu kabla ya uchaguzi la sivyo chama kinaweza kumeguka pande mbili na zote zikawa na nguvu.
Lissu hawezi kuwa na wafuasi vilaza, yeue mwenyewe yuko SamartTeam lissu Wako vizuri kama lissu mwenyewe, wanajenga hoja vizuri.Team mbowe hawana kitu zaidi ya maneno ya kuokoteza, nime mwona Ntobi na Nyerere ni shida Yaani dah
Kwahiyo unataka tuendelee na CCM inayotaka masikini tukomboe maiti ila matajiri watibiwe bure
Bora Ccm hii kuliko Chadema ….Amin nakwambia.Kwahiyo unataka tuendelee na CCM inayotaka masikini tukomboe maiti ila matajiri watibiwe bure?
Hongera kwa analysis nzuri Sana mkuuMimi nimefuatilia kwa Makini sana timu zote mbili na nimegundua vitu vifuatavyo
1.Timu mbowe wao walijipanga mda mrefu na walikuwa na lasilimali fedha ambazo walikuwa wanazitegemea kuwa zinaweza kumaliza kila kitu na mpaka uchaguzi wa ndani wa chama ngazi za chini unaisha walikuwa hawana wasi wasi yoyote.
2.Kwanza ieleweke kuwa hakukuwa na timu Lisu ila kulikua na baadhi ya wanachama kama Msigwa walio Jaribu kumshawishi Lisu agombee wenyekiti Lisu akagoma kwasababu alijua kabisa hawezi kugombea uwenyekiti bila kushauriana na Mbowe na kwakuwa hawajashauriana, awezi kujiingiza kichwa kichwa kwa kua ubavu huo hana.
3.Ndani ya chama kulikuwa na watu wengi ambao wameumizwa na timu mbowe na wengi walikuwa Aidha wametolewa kwenye uongozi au wamebaki kwa kudra za Mungu lakini wakiwa hawana huhakika na mstakabali wao mzima kwenye chama.
4.Sasa cheza la kihindi linaanzia hapa. Lisu hakuwa na wasiwasi wowote wakutetea Heo chake cha umakamu kwani alidhani kuwa mwenyekiti bado ni yule yule wasiku zote aliyempigania apate cheo hicho huku akiwa nje ya nchi kumbe mwenyekiti wa sasa ingawa ni yule yule lakini ni mtu wa Mlengo mwine kabisa na kulikuwa na mipango mingi ya chinichini ya kumuengua bila yeye kujua. Ilikuwa inafanyika kwa siri na taadhari kubwa sana.
5.Sasa hapa ndipo ilipoibuka timu Lisu watu wenye Akili wenye ushawishi na mikakati na kumtaadhalisha Lisu kama Vile modukai alivyo mtaadhalisha Ester kuwa hata wewe haupo salama hapo ulipo Butua utuokoe na sisi na ukikosa huna cha kupoteza kwasababu hata uo umakama pia huwezi kuupata sisi tutjaribu kadiri ya uwezo wetu kukupigia debe lakini, mipango iliyopo kwa sasa nikukung'oa kwenye hiyo na fasi na kumpa hasimu wako aliye zuka ghafla.
6.Lisu mara ya kwanza hakuamini alidhani ni watu wanao taka kumchonganisha na FAM lakini alipounganisha Doti akagundua kwa sasa kuna Gap kubwa sana kati yake na FAM. Kwahiyo akawa na mambo mawili ya kuchagua Aidha Aendelee kugombea Umakamu, Au agombee uenyekiti au Asigombee chochote atafute shughuli nyingine abaki kama mwanachama wa kawaida.
6.Timu ya ushawishi ikaundwa kwa mda Mfupi na kumshauri achukue form ya uenyekiti na wao watasaidia kwa nguvu zote kuwashawishi wajumbe wabadilike elewa mpaka hapo wajumbe wote walikuwa wanajua Mbowe hana mshindani wa maana kwahiyo kwenye swala la mwenyekiti Mbowe hana mpinzani ila wajumbe walikuwa Dailema nafasi ya makamu kwani Wenje na Lisu wote watu wazito ndani ya Chama lakini Wenje alikuwa anapigiwa Debe na mwenyekiti kwahiyo kwahiyo wajumbe wengi walikuwa njia panda, Wajumbe wengi walikuwa bado wana imani na Lisu kwenye nafasi ya Umakamu lakini walikuwa wanafosiwa na team FAM wamchague Wenje.
7.Kwahiyo wajumbe hawakuwa na Ugomvi wowote na Lisu kwenye nafasi ya Umakamu ila kutokana na Nguvu za FAM walikuwa kama wameparase wasijue lakufanya.
8.Sasa Lisu alipo amua kuchukua Form ya Uenyekiti Timu FAM ilikuwa haijajiandaa Kupambana na Lisu kwenye Nafasi ya uenyekiti timu FAM ikapata shock na ikawa imeshaharibiwa Target zake huku timu Lisu ikiwa imeshajipanga kushambulia kwa kila silaha iliyo nayo timu FAM ikabidi ikae chini kujipanga upya lakini ikashtuka timu Lisu inashambulia Pentagon na inasilaha duni lakini inawapiganaji wenye Hari.
9.siwezi kukisia Mapambano haya mwisho wake ni upi ila unapaswa kujua Wajumbe wengi bafo walikuwa na imani na Lisu ktk nafasi ya umakamu pamoja na kushawishiwa. Wajumbe karibia wote hawakuwa wamejiandaa Kisaikolojia kumbadilisha mwenyekiti kwenye uchaguzi huu ingawa hawakuwa na jibu la moja kwa moja mbadala wa Mwenyekiti ni nani.
10.Kwa hiyo kwakuwa kundi la Farm lilikuwa linauhakika nafasi ya mwenyekiti haina mpinzani haikuweka weledi wowote wakupambana na team yoyote kwenye upande wa mwenyekiti kwahiyo ilitengenezwa team ya mazezeta kupambana na Lisu kwenye nafasi ya umakamu.
11.Kwakuwa team ya Tundu Lisu ilikuwa inajua ina pambana na mwenyekiti ambaye yupo mmadarakani na ana kila Aina ya nguvu, kuanzia fedha, watu, imani ilibidi kutengeneza team yenye watu wenye Akili kubwa na ushawishi hapo ndpo unapoona team ya FAM inapooza na team ya LISU inachangamka team ya Lisu inapigana kufa na kupona kwa sababu imefika Point no turn back Aidha upambane ushinde au ufie hapo hapo.
12.Nini madhara ya hii vita ya mafahali wawili? Matokeo yake ni Mabaya sana kwasababu tayari kwenye Chama kumeshatokea Makundi mawili, Kundi la wanaopambana ili wanufaike moja kwa moja na kundi la wakunja ngumi au kwa jina lingine wabangaizaji ambao wao matumaini yao makubwa kuwe na chama cha upinzani chenye nguvu. Wabangaizaji na wakunja ngumi wengi wapo upande wa Lisu na watu ambao wapo kwa ajili ya frusa wapo upande wa Farm. Huu mpasuko kuunga baada ya uchaguzi mmoja akishindwa ni vigumu sana. Busara inapaswa kufikiwa mda huu kabla ya uchaguzi la sivyo chama kinaweza kumeguka pande mbili na zote zikawa na nguvu.
Nahisi hata yeye alikuwa anatamani awatumie hata sms waache ujinga😂😂Sikupata kujua Yericko ni kilaza kiasi hiki! Mbona aibu nasikia mimi?
Kwako mheshimiwa Mbowe kama umeusikiliza mdahalo wa leo nadhani utagundua kuwa hata kwa yote uliyofanya wafuasi wa Lissu wanakuheshimu na kukuthamini, lakini hizo taka ngumu yaani Yericko, Ntobi na wenzao wanakuunga mkono ili wakuchune ni matapeli hao. Na leo wamekupotezea kura nyingi sana kwa kuropoka kwao.
It's time ufanye maamuzi magumu ili utakapo umaliza mwendo uende hapa duniani usindikizwe kishujaa kama kina Martin Luther King au kina Nelson Mandela maana umeondoka madarakani ukipendwa na Watanzania na sio wahuni kama Yericko nk.
For Mbowe's supporters, it doesn't matter to them how weak the party is as long as the chairman is Mbowe. On the other hand, Lissu's supporters love Lissu because they see that even if he retires from politics, he will leave them a party to compete with CCM.