MDAHALO CHADEMA: Matokeo Team Mbowe vs Team Lissu

Timu gani imefanya vizuri kwenye Mdahalo

  • Team Mbowe

  • Team Lissu


Results are only viewable after voting.
Kwa sasa CHADEMA inamuhitaji sana LISSU kuliko MBOWE a.k.a Museveni
 
Hapo ndo utajua mwenye akili na mjinga tofauti ya majibu huwa yakoje 😁
 
Ndio kwa upande wangu sababu kina watu wenye uwezo Kiuongozi japo nia thabiti ya wachache wenye njaa ndo inakwamisha mchakato na kuonekana wote hawafai.
We unaona hiko chama knapaswa kuongiza Nchi?! Be honestly with your heart!
 
Sikupata kujua Yericko ni kilaza kiasi hiki! Mbona aibu nasikia mimi?
Kwako mheshimiwa Mbowe kama umeusikiliza mdahalo wa leo nadhani utagundua kuwa hata kwa yote uliyofanya wafuasi wa Lissu wanakuheshimu na kukuthamini, lakini hizo taka ngumu yaani Yericko, Ntobi na wenzao wanakuunga mkono ili wakuchune ni matapeli hao. Na leo wamekupotezea kura nyingi sana kwa kuropoka kwao.
It's time ufanye maamuzi magumu ili utakapo umaliza mwendo uende hapa duniani usindikizwe kishujaa kama kina Martin Luther King au kina Nelson Mandela maana umeondoka madarakani ukipendwa na Watanzania na sio wahuni kama Yericko nk.
 
Ndio kwa upande wangu sababu kina watu wenye uwezo Kiuongozi japo nia thabiti ya wachache wenye njaa ndo inakwamisha mchakato na kuonekana wote hawafai.
Nitajie viongozi kumi tu wa kueleweka walioko huko!!!!
 
Yeriko, Ntobi kama ndo think tank ya Mbowe kazi ipo, hamna kitu pale
 
Loh! Kumbe Ntobi na Yeriko ni vichwa maboga. Hawana uwezo wa kuelewa hata swali.
 
Kwamba maridhiano yalifanikisha Lissu kurudishiwa uwakili wake
 
Team Mbowe wanasisitiza kwamba Mwenyekiti awe na uwezo wa Kifedha, Mbangaizaji hapana!!!! 😳
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…