Hoja yako iko sawa lakini umejibu generally sana, ndo maana wanahitaji mtu mwingine akiongoze chama ili kujenga mfumo imara wa kichama na uongozi ikiwa pamoja na upinzani imaraHawa sio kwamba hawajakomaa bali ni wafanyabiashara kwenye siasa….we unahis hawa wanaweza ingia mikataba yenye usawa kati ya nchi na nchi au nchi na mashirika makubwa ya biashara….ni rahis mno hawa kuhongwa na mambo kua mabaya zaidi ya hawa Ccm!! Watu ambao Ccm inawanunua kila sku ndo uwape nchi?? Seriously?
Mkuu tunaongelea upinzani Generally…Cdm,Act,cuf and the likes…They are not ready and they will never be ….Had hiki kizazi cha 1970s,1980s,vitoke madarakani!Hoja yako iko sawa lakini umejibu generally sana, ndo maana wanahitaji mtu mwingine akiongoze chama ili kujenga mfumo imara wa kichama na uongozi ikiwa pamoja na upinzani imara
Mkuu tunaongelea upinzani Generally…Cdm,Act,cuf and the likes…They are not ready and they will never be ….Had hiki kizazi cha 1970s,1980s,vitoke madarakani
"CHADEMA ilianzishwa mwaka 2019" - Ntobi.Kwa walio fuatilia mdahalo huu ambao umetamatika usiku huu, binafsi haya ndiyo niliyofaelewa kutoka kwa wawakilishi wa wagombea wa nafasi ya Uenyekiti Chadema Taifa.
1. Wawakilishi Team Mbowe ambao ni Yeriko Nyerere na Emanuel Ntobi kwa upande wao nimeona wanapigania uwepo wa Mbowe tu katika Uongozi wa Mwenyekiti Chadema Taifa na si mtu mwingine kwa michanganuo ya majibu yao.
2. Wawakilishi wa Team Lisu ambao ni Gervas Lyenda na Gwamaka ambao wamesisitiza mara kadhaa katika majibu yao kuwa wanahitaji kiongozi atakae jenga Taasisi imara ya Chamakitakachoweza kujisimamia Kisiasa, Kiuchumi na Kijamii pamsipo kutegemea uwepo wa mtu mmjoa kwenye chama aweze kuendesha chama.
Kwa walio ng'amua zaidi, Comment yako muhimu
Kumekucha sasa, Mama Samia si ndo mnataka FAM aendelee sasa wawakilishi wenu wamekuwaje vilaza😁😁"CHADEMA ilianzishwa mwaka 2019" - Ntobi.
Mbowe kafanya upuuzi mkubwa kuwakilishwa na hawa vilaza. Mtu kutokuwa na akili sio tatizo ila kutokuwa na akili halafu mfupi ni janga kubwa sana. Yeriko jitathmini.
Mbowe ana mtaji wa wapiga kura kwahiyo lazima ashinde. Ni kweli wawakilishi wa jana ni vilazaKumekucha sasa, Mama Samia si ndo mnataka FAM aendelee sasa wawakilishi wenu wamekuwaje vilaza😁😁
Hamna mwenye nafuu huko.Uko sawa lakini kwa sasa mada iliyopo mezani ni kuhusu uchaguzi wa Chadema ngazi ya Taifa ili kupata kiongozi mbadala au kuendelea na aliyepo kwa sasa.
Tatizo upande wa Lissu wanataka ku grab madaraka bila kupitia sanduku la kura.Wanataka kula bila kunawa.Kwa sasa CHADEMA inamuhitaji sana LISSU kuliko MBOWE a.k.a Museveni
Thats what is known as mental epilepsyKwamba maridhiano yalifanikisha Lissu kurudishiwa uwakili wake
Mbowe ana mtaji wa wapiga kura kwahiyo lazima ashinde. Ni kweli wawakilishi wa jana ni vilaza
Ulifuatilia mdahalo lakini au ni hoja zako binafsi?Tatizo upande wa Lissu wanataka ku grab madaraka bila kupitia sanduku la kura.Wanataka kula bila kunawa.
Kama issue ni Mbowe hatakikani kuongoza si sanduku la kula litaamua?Wasiwasi wa nini?
Upande wa Mbowe wako tiyari kufanya uchaguzi kupitia sanduku la kula.Wajumbe wapiga kura ndio waamue.Lakini wanakubali hawakufanikiwa kupata katiba mpya ambayo ndio msingi wa utawala bora.
Lissu team ni wale loosers wenye hidden agenda wanaotaka kufanya mapinduzi.
Akina pangu pakavu tia mchuzi.
Hawa ni kama Sandista Urban gorilla wa Nikaragua they will promise you honey but might supply you with Sulphuric acid as a tea supplement.
Lakini madhara yake tutayaonaNdio mjue uchaguzi wa kiongozi wa siasa haufanyiki kwenye keyboard au online polls
1. Sina upandeWeka mawazo yako sawia na msimamo wako, ukielezea sababu yako.
Hayo ndio maoni ya wazi sasa na masimamo unaoeleweka mkuu1. Sina upande
2. Natamani tuwe fair pande zote mbili.
3. Ningetamani Lissu awe mwenyekiti mpya.
4. Naheshimu decision ya Mbowe kugombea, maana ni kwa mujibu wa katiba yao.
5. Whoever, atakayechaguliwa namtakia heri, na vision ya kuijenga Chadema bora.
Wale ni matusi tupuTeam Mbowe ni vilaza weupe kichwani, hawaelezi sera za mgombea wao