yaani nashangaa sana kuona wanafunzi wanaojiita wasomi wa chuo kikuu wakifanya ujinga kwa mdahalo unaoendelea udsm .
Wanafanya ushabaki na kuzomea kama watoto wa darasa la kwanza , hakuna maelewano,wanachokifanya,hawna hoja wanabaki kuzomea .
Kweli mwanafunzi ni mwanafunzi tu ,wote wana tabia za kitoto,hata uwe mwnanafunzi wa chuo kikuu.
Hakuna wanachokifanya hapo ,hawafikii kuonyeshea muafaka wowote bali ni yale yale tu ushabaki kama yanayoendelea kwenye bunge la katiba.
Ni bora wabunge wa bunge la katiba kuliko wanafunzi wanajiita wasomi wa chuo kikuu.
shame on you.