Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaah,haaah Kitila kamchamba Mwigulu,anajichekea tu na domo lake
Acha tu tuendelee kukataa mabadiliko, Msumbiji 1 - 0 Taifa Stars na wote tunaendelea kuona ni sawa tu eti hataki kubadilika!
yaani nashangaa sana kuona wanafunzi wanaojiita wasomi wa chuo kikuu wakifanya ujinga kwa mdahalo unaoendelea udsm .
Wanafanya ushabaki na kuzomea kama watoto wa darasa la kwanza , hakuna maelewano,wanachokifanya,hawna hoja wanabaki kuzomea .
Kweli mwanafunzi ni mwanafunzi tu ,wote wana tabia za kitoto,hata uwe mwnanafunzi wa chuo kikuu.
Hakuna wanachokifanya hapo ,hawafikii kuonyeshea muafaka wowote bali ni yale yale tu ushabaki kama yanayoendelea kwenye bunge la katiba.
Ni bora wabunge wa bunge la katiba kuliko wanafunzi wanajiita wasomi wa chuo kikuu.
shame on you.
picha tafadhali, matusi ya nini unadahalilisha jukwaa.
hivi maswali mawili aliyouliza kitila yanajibika kweli?
Anakiri kuwa ni kweli tumekwama kwenye mchakato sasa mbona ni mmoja wa wanaoenda Dodoma jumanne kendelea na bunge, kujadili rasimu au mkwamo!?Mwigulu lazima ateme pumba
Mnaomuelewa mwigulu mtanifafanulia...