Mdahalo wa Katiba (UDASA) kupitia Star TV - Agosti 3, 2014

Hivi wasira bado yupo kwenye makazi ya watu?hajaenda msituni kuishi na binadamu wenzake wakale?
 
Dr Kitila Mkumbo tunamjua ni ACT, asije akatuharibia MDAHALO maana hachelewi kuegemea kwa MAGAMBA...
 

Unamaanisha saa nane mchana au saa mbili asubuhi?
 


Mnyukano wa hoja hupelekea watazamaji na washabiki either kushngilia au kuzomea.

ukiona watu wanshangilia kinyume chake pia chawezekana yaani kuzomea

Demokrasia ya kweli hailengi mwelekeo mmoja lazima misigano mbwembwe na majaribu viwepo.

Siasa nikama mambo mengine yoyote, kuna wapenzi na washabiki,

-ili hoja ionekane imeshinda/imekubalika hushangiliwa

-ilihoja ionekane imeshindwa/haikubaliki huzomewa

Mkuu barabara ya demokrasia inamabonde, tope mitaro nk tuvumiliane ndugu yangu ndo utandawazi huo.
 
Nitajitahidi kuweka updates kadiri ya uwezo wangu stay tuned.
 
wadai kuanzia muda wowote mdahalo ulioandaliwa na udasa utaanza na
unarushwa na star tv wasemaji wakuu ni mh lissu na wasira ccm wamemwaga mamuluki wa kutosha kuna UDA kama tano hivi tayari Mwigulu lukuvi na pro tibaijuka
 
Tayari nimeshweka simu yangu tayari kuweka mambo sawa.

Naomba mods wanisaidie kupandisha updates.
 
Dah!!! Naona dalili mbaya sana kwenye mdahalo huu... Zomeazmea naiona costa 4 zmeshusha watu cjui wamtka mkoan au laah
 
Leo Lissu atajuta kupotosha!
 
Wakuu tupo pamoja,one love Kamanda Walas Ba,nakuachia usukani,after half an hour nitakuja kukupa kamapan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…