Mdahalo wa Katiba (UDASA) kupitia Star TV - Agosti 3, 2014

Kesho tutaelewa propaganda, ukweli na uwongo, Warioba, polepole na salimu wanaattend mdahalo wao

watakuwa nanafasi nzuri kufafanua jambo hili.

mkuu jitiada za intarahamwe zinaweza kufanyika kwa kuipiga mkwara [itv] isiruke hewani kutia mchanga zaidi chama.
 
...ccm wanatafuta pa kubwaga zigo la lawama...
 
Hakuna lolote hapo , propaganda tu hizo
 
Watanzania bado tunacheza tu ngoma ya wapigania Madaraka aisee! Lait kama tutayazangitaia waliyoyaongea Kitila na Mpangala naamini tutajikwamua hapa tulipokwama.

Ni kweli tamaa na uchu wawachache kurubuni watu na kutokuwa wazalendo kufanya watu wamekuwa vipofu hata kwa vitu vya kawaida vya taifa vinavotaka umakini mana taifa lina hange kila kitu hakiendi Dr. Kitila na Profesa Mpangala wameonge point muhimu kwa mstakabali wa taifa ila kwa vile viongozi wa serikali wameziba masikio na kujali mambo yao binafsi hakuna marefu yasio na ncha tusubirie nini kitatokea mana ni zaidi ya vichekesho vya ze comedi
 
jamaa yuko vizur siku hizi tena kaanzia Mwanza mchakato wa bajet siku chache zilizopita kama atashiriki katika kutenda kile alichoongea siku ile kikamilifu kweli he's a good guy.
 

Ni kweli hii imetia akishi nyingine tena. Sasa walivunja uhalali wa tume kuendelea kutoa maelekezo/mapendekezo wakati mijadala ya bunge maalumu ikiendelea.

Leo Lukuvi anasema Warioba amepeleka mapendekezo kama nani? na je, kwa misingi ipi? Kwakweli hii issue ya katiba isimame tu haina utashi wa wananchi.
 
Hadhi Ya Nkurumah inashushwa na UDASA..... Hao akina mama wanaosinzia pale nani kawaita?

UDASA UDASA Leo kumetokea nini? Wazungumzaji wote leo wamepangwa kabla na wengi wameonyesha kuegemea upande ule ule. Mwenyekiti alikuwa hajali muda wakizungumza wakina fulani. UDASA inapoteza credibility kwenye hizi issues.
 
Mbona JK alitoa maoni binafsi kwenye bunge kinyume na sheria?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…