Pre GE2025 Mdahalo wa Wagombea Uenyekiti CHADEMA Taifa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lissu for presidency, uenyekiti wa CDM amepata tayari.
 
Mimi ni mgombea bora kwa sababu nina msimamo wa kuaminika, uadilifu wangu hauna mashaka, uadilifu wangu ni mkubwa, sinunuliki. Chama inahitaji mgombea asiyetiliwa shaka....Tundu Lissu

Odemba: Je mgombea Mbowe sio mwadilifu?
 
Live updates iko wapi?
 
Viongozi wenye ndimi mbili, huku wanatema moto huku wanatema barafu.
Nimecheka mno!
 
Lisu: Viongozi wa sasa wana ndimi mbilimbili, huku wanatema moto na huku wanatema barafu.
 
Mdahalo ni mzuri kwel kwel nataman ccm wangefanya hivi tujue mbichi na mbivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…