Pre GE2025 MDAHALO: Wagombea Uenyekiti wa CHADEMA kuhojiwa na Chief Odemba. Ni tarehe 18.01.2025 Jumamosi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mboe lazima aingie MITINI (haji ng'o)
 
Mkuu umekuwa kama kasuku,hivi lini na wapi Lissu amemtukana mtu? Una chuki sana na Lissu,hivi Lissu kuwa mkweli kukemea maovu yanayofanyika Chadema ndiyo matusi?
Sina chuki na Lissu, siasa zake ndani ya chadema za kuwashambulia wenziwe
 
Huu utakuwa mdahalo bora Sana na wakibabe kuwahi kutokea tangu kuumbwa Kwa mbingu na ardhi, Mbowe usikose hii fursa wewe si unauwezo WA kukata mikutano 8 Kwa siku!
 
Lissu matusi hamna atakaekubali kufanya mdahalo nae mwenye akili
Nendeni polis mliotukanwa matusi lakin kama mnatukanwa halafu mmekalia jf tunawaona ni wapuuz kama ccm yenu na mamayenu pamoja na mwamba makengeza mla rushwa.
 
Nendeni polis mliotukanwa matusi lakin kama mnatukanwa halafu mmekalia jf tunawaona ni wapuuz kama ccm yenu na mamayenu pamoja na mwamba makengeza mla rushwa.
Kama ni kwenda Polisi,kwa ajili ya kutukanwa,Saa100 ni WA Kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…