mtimawachi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 2,108
- 3,155
Mkuu,siasa na mahakamani hua hakuna mwenyeweHatakubali kushirik
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu,siasa na mahakamani hua hakuna mwenyeweHatakubali kushirik
I doubt kama wagombea wote watajitokeza,Je, CHADEMA wakubali au wasikubali Mdahalo wa Uenyekiti wa chama? Wenzenu CCM huwa hawakubali MidahaloYale tukiyaitisha hayawi hayawi yamekuwa:
View attachment 3187016
Bila shaka mwamba atakuwapo kunadi sera zake?
View attachment 3187014
Hii ikiwa ni kwa sababu chuma msimamo wake ni wazi:
View attachment 3187018
🔥🔥
Asiyekubali kushindwa si mshindani!
Pia soma: Uchaguzi wenyeviti taifa Chadema, Debates za wazi ziandaliwe kwa wagombea tuzione mbivu na mbichi zao, itapendeza zaidi!
Pia soma: Kuelekea 2025 - Tuzijue "Sera za Mbowe" dhidi ya "Sera za Lissu," uchaguzi mwenyekiti CHADEMA 2025
Mkuu umekuwa kama kasuku,hivi lini na wapi Lissu amemtukana mtu? Una chuki sana na Lissu,hivi Lissu kuwa mkweli kukemea maovu yanayofanyika Chadema ndiyo matusi?Lissu matusi hamna atakaekubali kufanya mdahalo nae mwenye akili
Mboe lazima aingie MITINI (haji ng'o)Kumekucha ila ngoja tuone Miamba hii miwili ya CHADEMA itakavyomenyana mbele ya Wananchi,
Tuendelee kumwomba Mungu ili sote tufike salama 2025.
====
Mdahalo wa wagombea uenyekiti Chadema Taifa utafanyika tarehe 18/01/2025, siku ya jumamosi kuanzia saa 3:30 Usiku hadi saa 6:00 Usiku, mahali mtajulishwa. Mpaka sasa wagombea wawili wamethibitisha kushiriki mdahalo huo, tunaendelea na jitihada za kuhakikisha wote wanashiriki katika mdahalo, Asante.
=====
View attachment 3186218
Merry Xmas and Happy New year 2025.
Sina chuki na Lissu, siasa zake ndani ya chadema za kuwashambulia wenziweMkuu umekuwa kama kasuku,hivi lini na wapi Lissu amemtukana mtu? Una chuki sana na Lissu,hivi Lissu kuwa mkweli kukemea maovu yanayofanyika Chadema ndiyo matusi?
Huu utakuwa mdahalo bora Sana na wakibabe kuwahi kutokea tangu kuumbwa Kwa mbingu na ardhi, Mbowe usikose hii fursa wewe si unauwezo WA kukata mikutano 8 Kwa siku!Yale tukiyaitisha hayawi hayawi yamekuwa:
View attachment 3187016
Bila shaka mwamba atakuwapo kunadi sera zake?
View attachment 3187014
Hii ikiwa ni kwa sababu chuma msimamo wake ni wazi:
View attachment 3187018
🔥🔥
Asiyekubali kushindwa si mshindani!
Pia soma: Uchaguzi wenyeviti taifa Chadema, Debates za wazi ziandaliwe kwa wagombea tuzione mbivu na mbichi zao, itapendeza zaidi!
Pia soma: Kuelekea 2025 - Tuzijue "Sera za Mbowe" dhidi ya "Sera za Lissu," uchaguzi mwenyekiti CHADEMA 2025
I doubt kama wagombea wote watajitokeza,Je, CHADEMA wakubali au wasikubali Mdahalo wa Uenyekiti wa chama? Wenzenu CCM huwa hawakubali Midahalo
P
Tupe nukuu ya majibu ya mwenzake
Sina chuki na Lissu, siasa zake ndani ya chadema za kuwashambulia wenziwe
Gaza inahusikaje na Tundu lissWatu kama nyie mnatukwaza sana, hata Gaza mmekaa kiuchuro uchuro tu.
Nendeni polis mliotukanwa matusi lakin kama mnatukanwa halafu mmekalia jf tunawaona ni wapuuz kama ccm yenu na mamayenu pamoja na mwamba makengeza mla rushwa.Lissu matusi hamna atakaekubali kufanya mdahalo nae mwenye akili
Kama ni kwenda Polisi,kwa ajili ya kutukanwa,Saa100 ni WA KwanzaNendeni polis mliotukanwa matusi lakin kama mnatukanwa halafu mmekalia jf tunawaona ni wapuuz kama ccm yenu na mamayenu pamoja na mwamba makengeza mla rushwa.
Nenda kashitaki ccm ili mpange mipango yenu ya kumpigia risasiSina chuki na Lissu, siasa zake ndani ya chadema za kuwashambulia wenziwe
Na yeye aende tu hakuna aliyemzuia.Kama ni kwenda Polisi,kwa ajili ya kutukanwa,Saa100 ni WA Kwanza
Ndio maana marekani Huwa inayauwa haya mapuuz.Watu kama nyie mnatukwaza sana, hata Gaza mmekaa kiuchuro uchuro tu.
🤣🤣🤣Mboe lazima aingie MITINI (haji ng'o)