Pre GE2025 MDAHALO: Wagombea Uenyekiti wa CHADEMA kuhojiwa na Chief Odemba. Ni tarehe 18.01.2025 Jumamosi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbowe atajitoa dakika za mwisho
 
Lissu atatoka nje ya mada, jazba zitamtawala!
 
Nina uhakika kwa 99% Mbowe hatashiriki huo mdahalo.
Nani mzito anaweza kufanya mdahalo na Lissu?

Kwenye suala la kujenga hoja na kupangua hoja kwenye siasa, sidhani kama mwanasiasa hapa Tanzania anaweza kumsogelea Lissu.
 
mzee wasira miaka ya zamani alikuwa anaweza sasahv kazeeka
 
Wakimaliza mdahalo CDM, tunataka pia mdahalo wa wagombea wa CCM.

Tukimaliza mdahalo wa CCM tunataka mdahalo wa wagombea Urais live.
Mmh hapo kuna kizungumkuti,?!!,mdahalo wa wenyeviti CCM taifa?!!,tangu lini ukawepo!!,labda mmh
 
Hata kama ni energy nitakunywa tu ili nisilale hiyo siku.

Mdahalo sio wa kukosa, na hapo ndipo Lissu atakapochukua point zote za ushindi.

Kuna uwezekano Mwenyekiti king’ang’anizi akagoma kushiriki.
Hakuna uwezekano wa Mbowe kujitokeza kwenye huo mdahalo. Sijawahi kumuona Mbowe kwenye midahalo hata siku moja.
 
Mdahalo unaweza kufanyika, lakini baada ya uchaguzi mtu akahama chama, kama ilivyotokea kwa Sugu vs Msigwa.
 
Kama mdahalo watatimia wote litakua jambo la kuvutia sana siku hiyo.
 
Huu ni ubaguzi mbona wagombea wa CCM hatujawahi kuwaona kwenye MIDAHALO?
 
Mdahalo sio wa kukosa, na hapo ndipo Lissu atakapochukua point zote za ushindi.

Kuna uwezekano Mwenyekiti king’ang’anizi akagoma kushiriki.
Uwezekano wa Mwamba kukimbia ni mkubwa, ila asiposhiriki itakuwa ngumu kwao kukomalia midahalo na CCM wakati wa chaguzi mbalimbali.
 
Chura 2025 na yeye akubali mdahalo aende na gazeti kwa ajiri ya kusoma majibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…