Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Kwann?Huu mdahalo hautakuwepo.
Hakuna wa kufanya mdahalo na Lissu iwe ndani au nje ya CHADEMA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwann?Huu mdahalo hautakuwepo.
Hakuna wa kufanya mdahalo na Lissu iwe ndani au nje ya CHADEMA.
Mbowe atajitoa dakika za mwishoYale tukiyaitisha hayawi hayawi yamekuwa:
View attachment 3187016
Bila shaka mwamba atakuwapo kunadi sera zake?
View attachment 3187014
Hii ikiwa ni kwa sababu chuma msimamo wake ni wazi:
View attachment 3187018
🔥🔥
Asiyekubali kushindwa si mshindani!
Pia soma: Uchaguzi wenyeviti taifa Chadema, Debates za wazi ziandaliwe kwa wagombea tuzione mbivu na mbichi zao, itapendeza zaidi!
Pia soma: Kuelekea 2025 - Tuzijue "Sera za Mbowe" dhidi ya "Sera za Lissu," uchaguzi mwenyekiti CHADEMA 2025
Lissu atatoka nje ya mada, jazba zitamtawala!Kumekucha ila ngoja tuone Miamba hii miwili ya CHADEMA itakavyomenyana mbele ya Wananchi,
Tuendelee kumwomba Mungu ili sote tufike salama 2025.
====
Mdahalo wa wagombea uenyekiti Chadema Taifa utafanyika tarehe 18/01/2025, siku ya jumamosi kuanzia saa 3:30 Usiku hadi saa 6:00 Usiku, mahali mtajulishwa. Mpaka sasa wagombea wawili wamethibitisha kushiriki mdahalo huo, tunaendelea na jitihada za kuhakikisha wote wanashiriki katika mdahalo, Asante.
=====
View attachment 3186218
Merry Xmas and Happy New year 2025.
mzee wasira miaka ya zamani alikuwa anaweza sasahv kazeekaNina uhakika kwa 99% Mbowe hatashiriki huo mdahalo.
Nani mzito anaweza kufanya mdahalo na Lissu?
Kwenye suala la kujenga hoja na kupangua hoja kwenye siasa, sidhani kama mwanasiasa hapa Tanzania anaweza kumsogelea Lissu.
Mmh hapo kuna kizungumkuti,?!!,mdahalo wa wenyeviti CCM taifa?!!,tangu lini ukawepo!!,labda mmhWakimaliza mdahalo CDM, tunataka pia mdahalo wa wagombea wa CCM.
Tukimaliza mdahalo wa CCM tunataka mdahalo wa wagombea Urais live.
Matusi yatoke wapi wakati anajibu kutokana na maswali elekezi ya muongoza kipindi? Siku hizi ukweli unaitwa matusi, na tabia hii imejengwa na wanaccm kwa wingi maana ukweli ndio huwa unawaumiza sana.Lissu matusi hamna atakaekubali kufanya mdahalo nae mwenye akili
Ambao hawatajitokeza ni wale wenye element za kiccm, wengi wa hao ndio hawana ubavu wa ukweli.I doubt kama wagombea wote watajitokeza,Je, CHADEMA wakubali au wasikubali Mdahalo wa Uenyekiti wa chama? Wenzenu CCM huwa hawakubali Midahalo
P
Hakuna uwezekano wa Mbowe kujitokeza kwenye huo mdahalo. Sijawahi kumuona Mbowe kwenye midahalo hata siku moja.Hata kama ni energy nitakunywa tu ili nisilale hiyo siku.
Mdahalo sio wa kukosa, na hapo ndipo Lissu atakapochukua point zote za ushindi.
Kuna uwezekano Mwenyekiti king’ang’anizi akagoma kushiriki.
Wewe unaweza kufanya mdahao na Mwehu?Huu mdahalo hautakuwepo.
Hakuna wa kufanya mdahalo na Lissu iwe ndani au nje ya CHADEMA.
I doubt kama wagombea wote watajitokeza,Je, CHADEMA wakubali au wasikubali Mdahalo wa Uenyekiti wa chama? Wenzenu CCM huwa hawakubali Midahalo
P
Uwezekano wa Mwamba kukimbia ni mkubwa, ila asiposhiriki itakuwa ngumu kwao kukomalia midahalo na CCM wakati wa chaguzi mbalimbali.Mdahalo sio wa kukosa, na hapo ndipo Lissu atakapochukua point zote za ushindi.
Kuna uwezekano Mwenyekiti king’ang’anizi akagoma kushiriki.
Gaza inahusikaje na Tundu liss
Ujinga mtupu,