Mdau amuuliza John Heche: Unataka Umakamu Mwenyekiti wa Chadema halafu miradi ya Dotto Biteko asimamie nani?

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
20250105_141525.jpg

Kuna mdau kwenye mtandao wa X anamuuliza John Heche anataka Umakamu Mwenyekiti wa Chadema halafu miradi ya Dotto Biteko asimamie nani?

Anaendelea kuanika "Hakuna asiefahamu kuwa wewe ndiye Msimamizi wa miradi yote ya Dotto Biteko ikiwemo migodi yake ya Madini".
 
Kwahiyo ukiwa mwanasiasa hupaswi kuwa na shughuli nyingine za kukuingizia kipato??

Wanajua kuwa Mbowe ni mmoja ya washirika wakuu wa kibiashara wa Kikwete?

Siku zote mlikuwa wapi kulisema hilo mpaka baada ya mtu kutangaza nia???

Acha inyeshe tuone panapovuja.
 
View attachment 3193105

Kuna mdau kwenye mtandao wa X anamuuliza John Heche anataka Umakamu Mwenyekiti wa Chadema halafu miradi ya Dotto Biteko asimamie nani?

Anaendelea kuanika "Hakuna asiefahamu kuwa wewe ndiye Msimamizi wa miradi yote ya Dotto Biteko ikiwemo migodi yake ya Madini".
Heche awe msimamizi wa miradi ya mpwa wa hayati Magufuli? Heche huyu huyu aliyeng'anywa kipaza sauti baada ya kuonekana anajibizana na hayati Magufuli hadharani?

Ova
 
View attachment 3193105

Kuna mdau kwenye mtandao wa X anamuuliza John Heche anataka Umakamu Mwenyekiti wa Chadema halafu miradi ya Dotto Biteko asimamie nani?

Anaendelea kuanika "Hakuna asiefahamu kuwa wewe ndiye Msimamizi wa miradi yote ya Dotto Biteko ikiwemo migodi yake ya Madini".
Ujinga tu ,kwani hata ingekua kweli miradi na itikadi za vyama zinaingiliana vipi, kuna watu wako kwenye ndoa ila wapo vyama tofauti na safi maisha yanaenda .

Alafu miradi na uongozi wa chama wapi na wapi ,alie ulieuliza ni mpumbavu kama wapumbavu wengine
 
View attachment 3193105

Kuna mdau kwenye mtandao wa X anamuuliza John Heche anataka Umakamu Mwenyekiti wa Chadema halafu miradi ya Dotto Biteko asimamie nani?

Anaendelea kuanika "Hakuna asiefahamu kuwa wewe ndiye Msimamizi wa miradi yote ya Dotto Biteko ikiwemo migodi yake ya Madini".
 
View attachment 3193105

Kuna mdau kwenye mtandao wa X anamuuliza John Heche anataka Umakamu Mwenyekiti wa Chadema halafu miradi ya Dotto Biteko asimamie nani?

Anaendelea kuanika "Hakuna asiefahamu kuwa wewe ndiye Msimamizi wa miradi yote ya Dotto Biteko ikiwemo migodi yake ya Madini".

Ila huku nako kuna mtifuano!!
 
Back
Top Bottom