Mdau amuuliza John Heche: Unataka Umakamu Mwenyekiti wa Chadema halafu miradi ya Dotto Biteko asimamie nani?

Mdau amuuliza John Heche: Unataka Umakamu Mwenyekiti wa Chadema halafu miradi ya Dotto Biteko asimamie nani?

Doto ni kweli,anamiliki migodi mingi sana.
1. GGM yumo
2. Shanta yumo
3. Apex yumo
4. Buckleef yumo
 
Vyovyote itakavyokuwa, Heche makamu Mwenyekiti ajaye. Lisu ni Mwenyekiti
 
Atasimamia Mwamba ambaye baada ya huu uchaguzi atakuwa jobless!
 
View attachment 3193105

Kuna mdau kwenye mtandao wa X anamuuliza John Heche anataka Umakamu Mwenyekiti wa Chadema halafu miradi ya Dotto Biteko asimamie nani?

Anaendelea kuanika "Hakuna asiefahamu kuwa wewe ndiye Msimamizi wa miradi yote ya Dotto Biteko ikiwemo migodi yake ya Madini".
Kama ana uwezo wa Kusimamia miradi ya migodi
Basi ana uwezo mkubwa sana

Mradi wa migodi ni moja ya miradi migumu Sana kwenye management

Kwenye Nchi yenye watu maskini tunahitaji pia viongozi wenye uwezo wa Kusimamia miradi ya kiuchumi
 
Heche awe msimamizi wa miradi ya mpwa wa hayati Magufuli? Heche huyu huyu aliyeng'anywa kipaza sauti baada ya kuonekana anajibizana na hayati Magufuli hadharani?

Ova
Hela mwanaharamu
Dunia hii kila kitu kinawezekana
Ila atajibu hoja na sisi tuwe watabiri tu
 
View attachment 3193105

Kuna mdau kwenye mtandao wa X anamuuliza John Heche anataka Umakamu Mwenyekiti wa Chadema halafu miradi ya Dotto Biteko asimamie nani?

Anaendelea kuanika "Hakuna asiefahamu kuwa wewe ndiye Msimamizi wa miradi yote ya Dotto Biteko ikiwemo migodi yake ya Madini".

Msitake kutusahahaulisha kuhusu 4R ya Dr.Samia na Mbowe .

Ilianza vizuri japo haikuwa na mizizi .
Lisu kama Kiongozi mwandamizi wa Chama akaitekeleza vizuri japo hakukubaliana nayo.

Tuachane na genge la wapotoshaji wenye nia ya kuua upinzani wa kweli Tanzania.

Nani aliua 4R!!
Tuweke kumbukumbu zetu vizuri:-
Baada ya kifo cha Ally Kibao Mbowe alihudhuria kwenye msiba kule Tanga . Mbowe akatoa hotuba kali na yenye lugha za uchochezi na kupandisha jazba wananchi waliohudhuria kwenye msiba .
Wananchi wakajawa na jazba kali zilizopelekea uuma kushindwa kujizuia na badala yake wakataka kumpiga Mh.Waziri Eng. Masauni .Mbowe akaona itakua so mana yeye ndiye mchochezi anawazuia WATU wake wasimshambulie Masauni. Malofa na Manyumbu ,majizi na mafisadi wakamsifia Mbowe kuwa eti ana busara !
Baada ya busara feki ya Mbowe kufanyika,Mbowe huyo huyo akaibua taharuki nyingine na kutangaza maandamano makubwa ya kumtoa Mh.Rais madarakani ( Huu upumbavu wa Mbowe hautajwi kabisa na machawa wa CCM na wale wa Mbowe.). Busara bandia za Mbowe zikaja na Uchochezi wa kutaka kuiingiza nchi kwenye machafuko kwa kutaka kumfukuza Rais madarakani aliyewekwaadarakani kihalali kwa misingi ya katiba na anatolewa kwa kura na si vinginevyo.
Kauli ya Samia Must go ilitolewa na Mbowe akiwa na busara zinazosifiwa matokeo yake Kauli yake ikavunja 4R baada ya kukutana na Busara za Mama.
Mama akaagiza mikia ya wapinzani ikatwe mara moja . 4R ikafa kifo cha Mende .

Mpaka hapo hakuna mahali Lisu amehusika katika kuua na kuzorotesha 4R.

Na pia tuwakumbushe kuwa Lisu amehudhu misiba mingi ya Wanachadema waliouawa kikatili katika harakati za kisiasa lakini kwa busara za kweli hakuwahi kuleta taharuki wala kuchochea vurugu na hasira . Bila shaka hizi ndizo busara za Wakili Msomi Tundu Antipas Lisu .Busara za kujua jambo gani la kusema bila kuleta madhara kwa jamii na kuingia kwenye makosa ya jinai .
Sasa tuelewane wote kuwa Mbowe aliua 4R yeye mwenyewe kama alivyoiasisi . Lisu hahusiki kwenye kuivunja 4R .
 
View attachment 3193105

Kuna mdau kwenye mtandao wa X anamuuliza John Heche anataka Umakamu Mwenyekiti wa Chadema halafu miradi ya Dotto Biteko asimamie nani?

Anaendelea kuanika "Hakuna asiefahamu kuwa wewe ndiye Msimamizi wa miradi yote ya Dotto Biteko ikiwemo migodi yake ya Madini".
Huyo mdau alitaka Heche asimamie miradi ya nani?
Anaumia Heche kusimamia miradi ya madini ya Biteko?

Propaganda za kitoto kabisa.
 
View attachment 3193105

Kuna mdau kwenye mtandao wa X anamuuliza John Heche anataka Umakamu Mwenyekiti wa Chadema halafu miradi ya Dotto Biteko asimamie nani?

Anaendelea kuanika "Hakuna asiefahamu kuwa wewe ndiye Msimamizi wa miradi yote ya Dotto Biteko ikiwemo migodi yake ya Madini".
Kwa sasa CHADEMA inamuhitaji sana LISSU kuliko MBOWE a.k.a Museveni
 
Back
Top Bottom