Mdau amuuliza John Heche: Unataka Umakamu Mwenyekiti wa Chadema halafu miradi ya Dotto Biteko asimamie nani?

Mdau amuuliza John Heche: Unataka Umakamu Mwenyekiti wa Chadema halafu miradi ya Dotto Biteko asimamie nani?

View attachment 3193105

Kuna mdau kwenye mtandao wa X anamuuliza John Heche anataka Umakamu Mwenyekiti wa Chadema halafu miradi ya Dotto Biteko asimamie nani?

Anaendelea kuanika "Hakuna asiefahamu kuwa wewe ndiye Msimamizi wa miradi yote ya Dotto Biteko ikiwemo migodi yake ya Madini".

Siasa buana 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Sijui. Lakini inaonekana unapenda sana kuota😁
Tofautisha chama na upinzani , Ikiwa magufuli bingwa wa siasa za Maigizo alikutana na upinzani umo umo ccm hadi akafa na kutangazwa siku tano baadae .

Hii ndo ilivyo mkuu Tanzania mtafuta na kuua vyama vya upinzani na sio upinzani.
 
View attachment 3193105

Kuna mdau kwenye mtandao wa X anamuuliza John Heche anataka Umakamu Mwenyekiti wa Chadema halafu miradi ya Dotto Biteko asimamie nani?

Anaendelea kuanika "Hakuna asiefahamu kuwa wewe ndiye Msimamizi wa miradi yote ya Dotto Biteko ikiwemo migodi yake ya Madini".
Khaaaa......basi sawa....
 
Huyo mdau alitaka Heche asimamie miradi ya nani?
Anaumia Heche kusimamia miradi ya madini ya Biteko?

Propaganda za kitoto kabisa.
Katiba yetu inaruhusu kila mtanzania anayo haki ya kumiliki mali, biashara, ardhi, mgodi alimradi mali hizo hazitokani na ufisadi, rushwa au chochote kilicho kinyume na sheria za nchi.
 
Back
Top Bottom