sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
😆😆😆😆Propaganda zimeanza baada ya Heche kutangaza kugombea.
Mambo ya ajabu kweli, wabongo hawapendi au hawataki mtu ku multitaskKwahiyo ukiwa mwanasiasa hupaswi kuwa na shughuli nyingine za kukuingizia kipato??
Siku zote mlikuwa wapi kulisema hilo mpaka baada ya mtu kutangaza nia???
Acha inyeshe tuone panapovuja.
Litakufa Jitu hapo huu utatu ukipitaMwenyekiti. Lissu
Makamu heche
Katibu. Lema
Kizimkazi outLitakufa Jitu hapo huu utatu ukipita
Heche awe msimamizi wa miradi ya mpwa wa hayati Magufuli? Heche huyu huyu aliyeng'anywa kipaza sauti baada ya kuonekana anajibizana na hayati Magufuli hadharani?View attachment 3193105
Kuna mdau kwenye mtandao wa X anamuuliza John Heche anataka Umakamu Mwenyekiti wa Chadema halafu miradi ya Dotto Biteko asimamie nani?
Anaendelea kuanika "Hakuna asiefahamu kuwa wewe ndiye Msimamizi wa miradi yote ya Dotto Biteko ikiwemo migodi yake ya Madini".
Ujinga tu ,kwani hata ingekua kweli miradi na itikadi za vyama zinaingiliana vipi, kuna watu wako kwenye ndoa ila wapo vyama tofauti na safi maisha yanaenda .View attachment 3193105
Kuna mdau kwenye mtandao wa X anamuuliza John Heche anataka Umakamu Mwenyekiti wa Chadema halafu miradi ya Dotto Biteko asimamie nani?
Anaendelea kuanika "Hakuna asiefahamu kuwa wewe ndiye Msimamizi wa miradi yote ya Dotto Biteko ikiwemo migodi yake ya Madini".
View attachment 3193105

Nyie ndio hamtaki Wenje awe ni rafiki wa Abdul.Kwahiyo hautaki asimamie miradi
Kama propaganda za Abdul au?Propaganda zimeanza baada ya Heche kutangaza kugombea.
Hata kama ni kweli, bora Heche aliyethubutu kukemea rushwa kuliko Wenje. Yani hata kama wote watapimwa kwa mizani ya ufisadi basi bado tutaenda na Heche. Unaanzaje kwenda kumpigia kura Wenje? God forbid!Propaganda zimeanza baada ya Heche kutangaza kugombea.
View attachment 3193105
Kuna mdau kwenye mtandao wa X anamuuliza John Heche anataka Umakamu Mwenyekiti wa Chadema halafu miradi ya Dotto Biteko asimamie nani?
Anaendelea kuanika "Hakuna asiefahamu kuwa wewe ndiye Msimamizi wa miradi yote ya Dotto Biteko ikiwemo migodi yake ya Madini".
patamu hapo!Mwenyekiti. Lissu
Makamu heche
Katibu. Lema