Mdau amuuliza John Heche: Unataka Umakamu Mwenyekiti wa Chadema halafu miradi ya Dotto Biteko asimamie nani?


Siasa buana 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Sijui. Lakini inaonekana unapenda sana kuota😁
Tofautisha chama na upinzani , Ikiwa magufuli bingwa wa siasa za Maigizo alikutana na upinzani umo umo ccm hadi akafa na kutangazwa siku tano baadae .


Hii ndo ilivyo mkuu Tanzania mtafuta na kuua vyama vya upinzani na sio upinzani.
 
Khaaaa......basi sawa....
 
Huyo mdau alitaka Heche asimamie miradi ya nani?
Anaumia Heche kusimamia miradi ya madini ya Biteko?

Propaganda za kitoto kabisa.
Katiba yetu inaruhusu kila mtanzania anayo haki ya kumiliki mali, biashara, ardhi, mgodi alimradi mali hizo hazitokani na ufisadi, rushwa au chochote kilicho kinyume na sheria za nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…