Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Nani alitutawala na kuua mababu zetu? Nani anaiba mali zetu tukipata kiongozi shupavu wanamuuaMmefika hapo mlipo sababu ya upumbavu wenu.
Hata waafrika wana sex wanaume kwa wanaume, wanawake kwa wanawake na kusagana.Mwandishi ndio ako na ujinga ujinga! Yaani unawezaje kuweka mzungu ndio kipimo cha ustaarabu? Watu wanat*mbana wanaume kwa wanaume,wanawake kwa wanawake wanasagana?,wanafunga ndoa na wanyama?
Wazungu waliondoka kule Afghanistan.kwa taarifa hii dunia yaweza kuwa mahala penye amani na starehe kama wazungu wote wataondoka!
Wakongo wanakula nyani halafu wakipata Ebola, Homa ya nyani n.k wanaanza kusema wazungu ndio wameleta.And kwa taarifa yako the whites are not the original race of this world! Ni watu wabaya sana kutoka kutokea! Ni watu ambao hawaridhiki ,wanatamani hii dunia waishi wao tu,wanatuletea magonjwa mara ukimwi ,mara covid tu kwa tamaa zao!
A social construct, yet the physical differences are real. Considering that's not the sole factor involved in human differentiation.First things first, race is a social construct.
Wako backed na USA kumbe hujui kitu. Kagame ana uhusiano na Marekani katika hili. Wewe unadhani kikundi tu kingepata wapi silaha kubwa kupambana na majestic yaliyoungana kupambana nao na sio ADF pekee kuna vikundi vingi sana hata M23 ni mali yao. Vitu kama drones wangepata wapi vikundi kama ADF? Bila Wazungu Afrika ni bara lenye amani sana hata Yesu Kristo alikimbiziwa Afrika wakati Herode alipotaka kumuua.Kwa hiyo wale waasi wa ADF kule Congo ni wazungu sio?
Record za Wazungu zinazokidhi vigezo vyako.
- Ubinafsi
- Uncivilized and barbarian vibes
- Athari za Kijamii
- Kukosekana kwa Mshikamano
tembea babuSisi weusi ni wajinga ila Mwarabu ndio jinga zaidi. Bora sisi hata shule angalau. Yeye ana kitabu chake anasema kina ilim zote😀😀
Kagame ni mwafrika au mzungu?Wako backed na USA kumbe hujui kitu. Kagame ana uhusiano na Marekani katika hili. Wewe unadhani kikundi tu kingepata wapi silaha kubwa kupambana na majestic yaliyoungana kupambana nao na sio ADF pekee kuna vikundi vingi sana hata M23 ni mali yao. Vitu kama drones wangepata wapi vikundi kama ADF? Bila Wazungu Afrika ni bara lenye amani sana hata Yesu Kristo alikimbiziwa Afrika wakati Herode alipotaka kumuua.
Sipendi waarabu for some reasons. Lakini uko sahihi, inashangaza huyu jamaa anafanisha Waafrica na Waarabu. Ni obvious perspectives zake ni Religious indoctrination biased. That's why anajishusha yeye na waarabu na kuwapaiza wazungu.Hivi huu mfananano mnao lazimimishaga kati ya muafrica na kiarabu huwa mnautoa wapi hasa ?
Kuanzia kiuchumi, kielimu, kibiashara, kimiundo mbinu, kiusafi hebu tuambie kati ya hivyo vitu vyote ni kipi hasa ambacho waafrica wana mlinganyo na waarabu?
Waarabu ni moja wapo ya jamii ambayo asilimia kubwa ya watu wake wanaishi maisha ya kiwango cha juu hapa duniani kuliko hata hao wazungu.
Bora hata waafrica ungewafananisha na jamii ya wahindi maana hizo ndo jamii ambazo watu wake wanaishi maisha duni kuliko jamii zote hapa duniani.
Alichokiandika jamaa kinyumen chake ndio ukweli. Maufrika hana tatizo na mtu, mwarabu nae vile vile hizi ni jamii moja utofauti ni mazingira.
Wewe una wazungumzia hao waarabu wachache wa mijini hapo Qatar, UAE, Saudia na Oman unao waona kwenye media wana maisha safi.Hivi huu mfananano mnao lazimimishaga kati ya muafrica na kiarabu huwa mnautoa wapi hasa ?
Kuanzia kiuchumi, kielimu, kibiashara, kimiundo mbinu, kiusafi hebu tuambie kati ya hivyo vitu vyote ni kipi hasa ambacho waafrica wana mlinganyo na waarabu?
Waarabu ni moja wapo ya jamii ambayo asilimia kubwa ya watu wake wanaishi maisha ya kiwango cha juu hapa duniani kuliko hata hao wazungu.
Bora hata waafrica ungewafananisha na jamii ya wahindi maana hizo ndo jamii ambazo watu wake wanaishi maisha duni kuliko jamii zote hapa duniani.
Nakubaliana na wewe Mkuu..Dunia bila mzungu ingekuwa sehemu ya fujo sana.
Mchango wa wazungu kwenye maisha ya binadamu ni mkubwa sana kwanzia ustaarabu, elimu, sayansi na teknolojia.
Waafrika na waarabu kazi yao ni uharibifu tu.
Infropreneur ameandika UKWELI MTUPU, Mtu mweusi ni Nyani avaae nguoJe unakubaliana nae au unakataa
Machief wa kiafrika walitoa mchango mkubwa sana kufanikisha biashara ya utumwa na ukoloni.Alichokiandika jamaa kinyumen chake ndio ukweli. Maufrika hana tatizo na mtu, mwarabu nae vile vile hizi ni jamii moja utofauti ni mazingira.
Mzungu ndio master mind hapo, kabla wakoloni kuja africa haikuwa hivi ilivyo leo kama huko congo, people were lives in peace and harmony, after mweupe kuja everything changed
Tusiwadanganye kizazi kijacho weupe ni better than weusi wakati maarifa elimu na vyote vizuri wamevichukua Africa na kuvifanyia maboresho
Sasa kama mtoa Mada kaangalia watu wa Nyumbani kwao wanaomzunguka hatuwezi kumbishia labda kweli familia yao na ukoo wake n wapumbavu sana.
Black? What black? Black coffee, black table, black bottle, black color? Are you American?I'm God's Creation, I'm proud to be Black[emoji1787][emoji1787]
Black? What black? Black coffee, black table, black bottle, black color? Are you American?I'm God's Creation, I'm proud to be Black[emoji1787][emoji1787]
Nani mwenye makosa? Aliyeanzisha biashara ya ukoloni na utumwa au chief aliyelazimwisha ku-cooporate au wangempiga risasi sababu hawezi kujitetea?Machief wa kiafrika walitoa mchango mkubwa sana kufanikisha biashara ya utumwa na ukoloni.
Mzungu hakufanikiwa hivi hivi tu. Bila ushirikiano na waafrika wasaliti na Machief wajinga walio uza wenzao.