Andrew Tate
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 4,503
- 6,861
Na yeye alishatawaliwa vilevile.
Kutawaliwa na nani?
Aisee! Hivi unafahamu kwamba Ardhi ya Marekani yote ilikuwa inamilikiwa na Red Indians au Native Americans? Alafu Europeans ambao ndio wazungu, wakaja kuwatoa kwa nguvu na kuua karibu nusu na robo ya Native Americans?
Unafahamu hilo? Kama hukufahamu hilo, una uhakika gani chochote unachokiandika kina mantiki yoyote?