Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Mzungu anapigana vita kwa maslahi yake mwenyewe na nchi yake na kizazi chake.Wazungu wakipigana vita.... Geniuses.
Mwarabu......Udini.
Mweusi.... Hana akili.
Walio wengi ushamba wa kimagharibi kwao wanaona ni ujanja.
Seriously? How the fu**k hicho ki-description kitashikilia maana nzima ya Race? Unadhindwa kutumia akili yako, reasoning, logic na critical thinking kudecipher na kudeduce mambo unaniletea kiscreen shot chenye maneno machache yasiyo na maana yoyote? What is that? Google Or Gemini? Ina maana ulikuwa unapinga bila kujua unachokiongelea, baada ya kuwa challenged ukakimbila Google? Hauwezi kufikiria kwa ajili yako mwenyewe? It make sense unatetea ushenzi wa wazungu na kujiita Black.Ngoja nikuache ubaki na Upumbavu wako, hiyo color unayosema ndiyo inayotengeneza Race
Wana ubora gani na dini yao ya vurugu ambayo wanaiita ya amaniUnachuki binafsi na waarabu ila hao ndio race bora kuwahi kutokea ulimwenguni
Unashindwa kutofautisha Black Americans na Africans unata kuongelea heavy philosophical questions kama Moral judgments?Wewe una Ujinga, kabla ya kukimbilia huko nataka kwanza uelewa nini maana ya Race au Racial group
Makosa kulingana na Perception ipi? Kitu ambacho kwako ni makosa kwangu yanaweza yasiwe makosa, kuoa wake wengi kwako kunaweza kuwa makosa ila kwangu ikawa sawa
Elewa kwanza haya [emoji116]
Hao wakina Mugabe,Jpm ni matahira wenzetuNani alitutawala na kuua mababu zetu? Nani anaiba mali zetu tukipata kiongozi shupavu wanamuua
ukinijibu hayo unambie uzuri wao uko wapi
Dawa ya tatizo ni kuliondoaOk,NINI KIFANYIKE ?
To cut the story tungekuwa tuna akili timamu tungeenda kuwatawala wao huko ulaya.Machief wa kiafrika walitoa mchango mkubwa sana kufanikisha biashara ya utumwa na ukoloni.
Mzungu hakufanikiwa hivi hivi tu. Bila ushirikiano na waafrika wasaliti na Machief wajinga walio uza wenzao.
Waarabu wajinga vipi sisi?Hakuna mijitu mijinga kama miarabu
Sifa za mtu asie na akiliRecord za Wazungu zinazokidhi vigezo vyako.
Vita vya dunia.
Ukoloni.
Utumwa.
Kuchukua maeneo ya watu.
Why am I even answering you.
Hiyo neno MUNGU nao ni upumbavu mwingine ambao umeletewa na wenye akili alafu wao hawana shobo na hiko kiumbe unachokiumba kwenye mafikilio yakoHakuna haja ya kubeza wengine na kuitana wapumbavu, Kwa Mungu sote ni sawa, yeye ni Mungu wa wote, hachagui dini wala kabila.
Kwahiyo wewe,mama yako,baba yako,mumeo na ukoo wako
Wote mmelaaniwa? Kwenye hiyo laana mniondoe kabisa! Bullshit
Aafrika wana inferiority complex aisee!Huyo jamaa ni mfano hai wa mada yake mwenyewe. Watu ambao ni wachache sana one might say.
Sitoongelea kuhusu waarabu sababu siwajui na wala hatufanani kivyovyote, na nina uhakika huyo genius anaongelea waarabu sababu yuko biased kidini. Bila shaka ni Christian. Religious indoctrination is a dangerous thing.
Naona anaongelea wazungu akimaanisha Europeans, kama the Paragon of civilization. Labda sababu ya mafanikio yao, kitu kinachodhihirisha upumbavu wake anaousema. Sababu kama angekuwa na akili chache hata za kuvukia barabara basi angegundua Europeans ndio walioleta ukoloni Barani Afrika, waligeuza mababu wa kiafrika watumwa, wakawatumikisha kama wanyama bila chembe ya huruma, kuwatesa, na kuwaua. Hivyo Europeans sio wapumbavu tu wasiopenda amani, bali ni washenzi na makatili. Na hawakufanya ushenzi Afrika tu, bali dunia nzima. Ikiwemo kwenda kuchukua ardhi za watu kinguvu na kuwaua wenyewe, au anadhani Marekani ni ardhi ya wazungu ile? Vita vya dunia walikuwa wanapigna kina nani kama sio Wazungu? Au Hitler alizaliwa kimbiji na alikuwa mweusi?
Wazungu ni matajiri sababu ya ukatili walioufanya, hivyo utajiri sio morality na Umasikini sio upumbavu, sababu ulikuwa moral enough kutofanya ukatili kwa wengine ili ufanikiwe wewe.
Huu ni ujinga uliopitiliza viwango.
Sawa, huo ni mtazamo wako na mafikirio yako.Hiyo neno MUNGU nao ni upumbavu mwingine ambao umeletewa na wenye akili alafu wao hawana shobo na hiko kiumbe unachokiumba kwenye mafikilio yako
Kuna wale wapumbavu wa huko west africa eg chad,Niger,Mauritania,Togo kuna upumbavu wamembukizwa na waarabu
πππYupo sahihi π― mkuu mtu mweusi ambae asili yake Toka anazaliwa anakula chakula kwa kugombania kwenye masinia yupo sahihi
ππ¨π¨Huyo jamaa ni mfano hai wa mada yake mwenyewe. Watu ambao ni wachache sana one might say.
Sitoongelea kuhusu waarabu sababu siwajui na wala hatufanani kivyovyote, na nina uhakika huyo genius anaongelea waarabu sababu yuko biased kidini. Bila shaka ni Christian. Religious indoctrination is a dangerous thing.
Naona anaongelea wazungu akimaanisha Europeans, kama the Paragon of civilization. Labda sababu ya mafanikio yao, kitu kinachodhihirisha upumbavu wake anaousema. Sababu kama angekuwa na akili chache hata za kuvukia barabara basi angegundua Europeans ndio walioleta ukoloni Barani Afrika, waligeuza mababu wa kiafrika watumwa, wakawatumikisha kama wanyama bila chembe ya huruma, kuwatesa, na kuwaua. Hivyo Europeans sio wapumbavu tu wasiopenda amani, bali ni washenzi na makatili. Na hawakufanya ushenzi Afrika tu, bali dunia nzima. Ikiwemo kwenda kuchukua ardhi za watu kinguvu na kuwaua wenyewe, au anadhani Marekani ni ardhi ya wazungu ile? Vita vya dunia walikuwa wanapigna kina nani kama sio Wazungu? Au Hitler alizaliwa kimbiji na alikuwa mweusi?
Wazungu ni matajiri sababu ya ukatili walioufanya, hivyo utajiri sio morality na Umasikini sio upumbavu, sababu ulikuwa moral enough kutofanya ukatili kwa wengine ili ufanikiwe wewe.
Huu ni ujinga uliopitiliza viwango.
Kuuwa watu ni akili ?Mzungu anapigana vita kwa maslahi yake, hasa kiuchumi
Mwarabu anapigana vita kwa maslahi ya dini yake, ambayo pia inakataza kuua
Mtu mweusi hapigani vita, anapiganishwa vita yeye na ndugu zake (wenyewe kwa wenyewe) kwa sababu ni Wajinga na ni kwa maslahi ya Mzungu
Elewa tofauti
Democide ndani ya U.S ni kubwa na inazidi kukua kila leo.Mzungu anapigana vita kwa maslahi yake mwenyewe na nchi yake na kizazi chake.