Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Wakumbukege ni lugha gani hiyo? Tuanze na hilo kwanza..Kama alikua anaamini anachokiongea anaogopea nini kurudi? arudi tu apambane Mahakama si zipo
ifike wakati hawa wana siasa wakumbukege kuna "kesho"
Mahakama zipi mkuu? Baba levo alihukumiwa kifungo cha mwaka mmoja kule kigoma leo mahakama hiyo hiyo imetengua hukumu na kusema haikuwa ya haki, unadhani Lisu jinsi alivyotaka kuuwawa hizi mahakama zikimuhukumu kwa hila kuna hakimu atatengua hukumu hiyo?Kama alikua anaamini anachokiongea anaogopea nini kurudi? arudi tu apambane Mahakama si zipo
ifike wakati hawa wana siasa wakumbukege kuna "kesho"
Hovyo, amani unaijua wewe mbona yeye mkuu anatembea na walinzi kila uchao kila sehemu?Tanzania ni salama
Nchi namba moja kwa amani Africa
Tuache kuichafua Nchi yetu
Ilishachafuka siku nyingi, labda tuache kuiongezea uchafu.Tanzania ni salama
Nchi namba moja kwa amani Africa
Tuache kuichafua Nchi yetu
Hata moshi wa Ruangwa haukumuacha mtu salama. Wasiojulikana pekee ndio wako salamaTanzania ni salama
Nchi namba moja kwa amani Africa
Tuache kuichafua Nchi yetu
Kama ni salama waliopotea na kuuwawa ukuwaona?Tanzania ni salama
Nchi namba moja kwa amani Africa
Tuache kuichafua Nchi yetu
Hayajakukuta mkuu Mungu ni mwema tunakuombea yakupate na wewe hujafa hujaumbikaKama alikua anaamini anachokiongea anaogopea nini kurudi? arudi tu apambane Mahakama si zipo
ifike wakati hawa wana siasa wakumbukege kuna "kesho"
Hili ndilo la msingi haswaLissu jikalie tu ulaya achana na siasa uchara za kununuana za wapumbavu wanaofikiria watanzania wote ni mafala kama wao kuna siku utarudi waache wapumbavu wafanye wanayoyafanya maana ukija watasema unawakwamisha tulia kula bata achana na upumbavu.
Hovyo, amani unaijua wewe mbona yeye mkuu anatembea na walinzi kila uchao kila sehemu?
Mahakama za nchi ipi?Kama alikua anaamini anachokiongea anaogopea nini kurudi? arudi tu apambane Mahakama si zipo
ifike wakati hawa wana siasa wakumbukege kuna "kesho"
Kama alikua anaamini anachokiongea anaogopea nini kurudi? arudi tu apambane Mahakama si zipo
ifike wakati hawa wana siasa wakumbukege kuna "kesho"
Tanzania ni salama