Mdhamini: Tundu Lissu ameshapona, anashindwa kurejea nchini akihofia usalama wake

Mdhamini: Tundu Lissu ameshapona, anashindwa kurejea nchini akihofia usalama wake

Kwahiyo USA Hakuna amani Ndio maana Rais anatembea na ulinzi
Yes! wamarekani wamepinda sana wale, walimuua Keneddy, Reagan wakampiga risasi usiku, akaponea chupuchupu kufa!

wanaharakati weusi/ wanamuziki ndo uwiiii! usiseme!
 
Mwanaharakati anayehofia usalama wake??
Hao wadhamini wakamatwe wawekwe lupango mpaka atakapokuja mahakamani.Huko Ubelgiji haipiti miezi mitatu bila kusikia visa vya ugaidi na mauaji.
 
Wameshaanza ujinga tena
Mh siku zote hawakukuhakikishia usalama hadi yakakupata yaliyokupata hata baada ya kuwapa taarifa mapema watawezaje kukuhakikishia usalama leo? Yatakuwa maajabu ya mwaka. Mtegemee mungu tu, pengine uendelee kuishi huko hadi mabadiliko yatakapotokea
 
Yaani serikali hii/hizi ukiwa na akili sana, na hoja nzuri nzuri zenye mashiko wanakununia au kukuchapa risasi, huo ni uoga wa kishamba!

Maskini Lisu hakuwa hata na bastola, lkn nguvu iliyotumika ni kubwa sana kupindukia. kilichomponza akili nyingi.
your presdaa is so aggressive! but kabla hajafa atalipa subirini. ukiishi kwa upanga utakufa kwa upanga. kuna watu wanaona mwenzao anapotea wazi wazi but wanamsifia km Msiba.

Ouko naye yalimkuta km haya, Thom Mboya, Gudumbi mutharika- malawi
 
Kama alikua anaamini anachokiongea anaogopea nini kurudi? arudi tu apambane Mahakama si zipo

ifike wakati hawa wana siasa wakumbukege kuna "kesho"
Huu sasa ni ufara sana, wewe ndo uanze kukumbuka kesho na hao watekaji wanaoagizwa toka juu. Ina maana huoni hatari inayomnyemelea mheshimiwa Lisy wewe??? Kashfa ruksa ila uptitilize.
 
Yaani serikali hii/hizi ukiwa na akili sana, na hoja nzuri nzuri zenye mashiko wanakununia au kukuchapa risasi, huo ni uoga wa kishamba!

Maskini Lisu hakuwa hata na bastola, lkn nguvu iliyotumika ni kubwa sana kupindukia. kilichomponza akili nyingi.
your presdaa is so aggressive! but kabla hajafa atalipa subirini. ukiishi kwa upanga utakufa kwa upanga. kuna watu wanaona mwenzao anapotea wazi wazi but wanamsifia km Msiba.

Ouko naye yalimkuta km haya, Thom Mboya, Gudumbi mutharika- malawi
NAUNGA MKONO HOJA
 
Ni mwoga sana huyo hivi mtu umepona, unashindwaje kurudi kwenye nchi yako uliyozaliwa? Si arudi kwanini anakimbia kesi?
 
Aombe ukimbizi huko dunia nzima yajua alichotendewa na mtoa roho
 
Ni mwoga sana huyo hivi mtu umepona, unashindwaje kurudi kwenye nchi yako uliyozaliwa? Si arudi kwanini anakimbia kesi?
Ameshaaambiwa akirudi awakosei tena kina musiba washamwambia arudi kufata nn hali mmempora ubunge
 
Mdhamini atakua matatani
Hivi kama mdhaminiwa mwenyewe anasema sirudi kwani sijahakikishiwa usalama wangu mdhamini anahusikaje hapo?
Mdhamini sio wajibu wake kutumia nguvu kumleta mtuhumiwa mahakamani, anachoweza kufanya ni kujitoa udhamini wake tuu ili dhamana ifutwe
 
Wanajifanya kumpora Ubunge wake, wakati wanajua fika kabisaa! haji kawatosa! amepewa hadhi ya ukimbizi daraja ''A'' mshiko wake ni zaidi ya Rais yeyote wa Africa.

Linganisha; uje kwenye mavumbi yenye joto hapo! kupigizana kelele na watu wenye Jasho la fungus! wanaua panya kwa bunduki.

Sasa kazi ni moja kuwekewa vikwazo tu.
 
Alafu wanataka kuchukua dola ,labda Dola ya fedha ya marekani
 
Back
Top Bottom