Emar
JF-Expert Member
- Nov 15, 2018
- 1,786
- 3,096
Polepole wa jfTanzania ni salama
Nchi namba moja kwa amani Africa
Tuache kuichafua Nchi yetu
Polepole wa jfTanzania ni salama
Nchi namba moja kwa amani Africa
Tuache kuichafua Nchi yetu
Kama kwa mfano inathibitika kwamba sasa Bw. Tundu yu mzima wa afya (hata kama siyo kwa maana ya kuwa kama alivyokuwa awali). Na Mh. Hakimu akaridhika kwamba kweli ni mzima. Mkuu hebu weka mawazo yako huru, unafikiria Mh. Hakimu asemeje au afanyeje?Kesi inayoendelea mahakamani Kisutu si tu imenichekesha bali imenipa wasi wasi juu ya uwezo wa kiakili wa Hakimu mwenyewe.
Nitangulize angalizo mimi si mwana magwanda, wala mwanasheria.
Lissu kakimbia nchi kupata matibabu yaliyotokana na jaribio la kumuua. Waliofanya hivyo hawajulikani. Lissu ana kesi Mahakamani ambayo kimsingi hatujui miguu wala kichwa cha kesi hiyo.
Magazeti ya leo yana vichwa vya habari Hakimu akitoa amri Lissu arudi nchini kuendelea na kesi yake (ili pengine afungwe-kama akikoswakoswa kuuwawa mara ya pili)!
Hapo ndio najiuliza uwezo wa Mahakimu wetu.
Hata Lissu akiwa mzima, na Hakimu anajua kuwa kuna asiyejulikana kumpokea pale Airport ili akimwona tu, kwa mguu wa kuku wenye silencer ,atakamua risasi.Kama kwa mfano inathibitika kwamba sasa Bw. Tundu yu mzima wa afya (hata kama siyo kwa maana ya kuwa kama alivyokuwa awali). Na Mh. Hakimu akaridhika kwamba kweli ni mzima. Mkuu hebu weka mawazo yako huru, unafikiria Mh. Hakimu asemeje au afanyeje?
Wasiojulikana + The Kangaroo Courts = His potential demise.Kama alikua anaamini anachokiongea anaogopea nini kurudi? arudi tu apambane Mahakama si zipo
ifike wakati hawa wana siasa wakumbukege kuna "kesho"
Hata wewe huna msaada wowote ni kujaza server tu humu.Alitaka aendelee kuwa Mbunge ili amuwakilishe nani wakati hataki kurudi nchini kwake? Hata hivyo aendelee kukaa huko tu maana hana msaada kwa wapiga kura wake zaidi ya makelele tu
Kwa nini hawajakamatwa. You're really silly in the literal meaning of the word.Kwani uongo? Si unamwona Lissu sasa haongei sana tena baada ya kugundua mpango ulisukwa na Chadema wenyewe!
Povu la nini?Ukweli upi na wewe bwege, kwamba wakolomije hawakuwa sehemu ya madhara yake au!!?
Kwa hiyo hao waliotaka kumuua wenyewe wana Immunity Against Death. Unafahamu walipo akina Issac Malyamungu, Chemical Ally, Saddam Hussein, Muamar Gaddafi, Iddi Amin and the likes.Tangu Lissu atwangwe risasi nchi hii imetulia na matusi na kejeli vimeisha. Adabu imetawala. Wote waliokuwa wanaiga matusi na kejeli za Lissu (mfano Halima Mdee, Lema, Msigwa na Sugu) wameufyata. Nakile kijamaa cha Songwe pia. Hivyo bila kuungua mkia paka hatoki jikoni.
Hii tabia ya matusi ilikuwa inaelekea kuwa kitu cha kawaida hata mitaani. Sasa nidhamu ya Mtanzania imetamalaki. Lissu uliponzwa na utovu wa nidhamu sasa wewe ni kilema mpaka kufa. Haya maneno ya kukushabikia mitandaoni haikusaidii tena - you haven't accomplished any of your dreams! In short Lissu umekwisha. Na hutarudi Tanzania utakuwa unaisikia kwenye mitandao. Pole sana.
Ilikuwaje mkampiga risasi.Alafu kwa ujinga unasema kama alikuwa anajiamini?. Nyinyi ndiyo anajiamini mnatumia hadi risasiKama alikua anaamini anachokiongea anaogopea nini kurudi? arudi tu apambane Mahakama si zipo
ifike wakati hawa wana siasa wakumbukege kuna "kesho"
Mkuu unajibu chizi kama huyo wa nini?.anaowategemea wenyewe wanakufa huku wanakunya mavi yeye anawaona hakuna wa kuwagusa huku kifo kikiwaburuza mpaka makaburiniKwa hiyo hao waliotaka kumuua wenyewe wana Immunity Against Death. Unafahamu walipo akina Issac Malyamungu, Chemical Ally, Saddam Hussein, Muamar Gaddafi, Iddi Amin and the likes.
Bado una akili za kitoto sana.
Acha uoga wa kishamba, mkuu hawezi kujilinganisha na Lissu hata siku moja, na kwa wivu wake akaamua kumtoa uhai lakini Mungu haku kubali.Usiwe unamlinganisha mkuu na vitu vidogo vidogo tafadhali
Lisu wala usihadaike na maneno ya mkata viuno Lugola, au huyu mlamba visigino kamanda Zero. Kaa huko huko Ulaya.
[/QU
Ha ha wala usiwe na shaka harudi huyo
Yeah right "Nchi yenye amani"Tanzania ni salama
Nchi namba moja kwa amani Africa
Tuache kuichafua Nchi yetu
Mkuu Lissu atarudi Tanzania, Tanzania ni nchi yake,huyu dikiteta uchwara akiondoka kila mtu atarudi,wala Lissu si wa kwanza kukimbia nchi yake na kisha baadae kurudi.By the way watu wote wenye akili timamu wanajua Lissu hakufanya kosa lolote isipokuwa kuwa tu watu walioigeuza nchi yetu kuwa mali yao binafsi ndo wanaona lissu kafanya kosa lililompasa yeye kuuwawaKama alikua anaamini anachokiongea anaogopea nini kurudi? arudi tu apambane Mahakama si zipo
ifike wakati hawa wana siasa wakumbukege kuna "kesho"
Kama alikua anaamini anachokiongea anaogopea nini kurudi? arudi tu apambane Mahakama si zipo
ifike wakati hawa wana siasa wakumbukege kuna "kesho"
Dah....Kisicholindwa hakina thamani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hovyo, amani unaijua wewe mbona yeye mkuu anatembea na walinzi kila uchao kila sehemu?
Nchi amabazo hakuna amani ndo wanatembea na ulinzi,Kuna Rais duniani asiyetembea na ulinzi?
hivi Wapinzani mmeishiwa kabisa hoja?
Nchi amabazo hakuna amani ndo wanatembea na ulinzi,
kwa hiyo na sisi tufanye tuu kwa sababu wengine wanafanya?