Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
Kwenye mahojiano na mwandishi wa habari wa kujitegemea aliyekuwa Washington DC, Muberwa Bandio, Tundu Lissu aliulizwa na mpiga simu mmoja kwamba hahofii kuuawa akirudi Tanzania?
Akasema hana hofu hiyo, atarudi.
Nikasema akirudi atakuwa na ujasiri wa hali ya juu sana.
Kageuza kibao?
Akasema hana hofu hiyo, atarudi.
Nikasema akirudi atakuwa na ujasiri wa hali ya juu sana.
Kageuza kibao?