Mdhamini: Tundu Lissu ameshapona, anashindwa kurejea nchini akihofia usalama wake

Mdhamini: Tundu Lissu ameshapona, anashindwa kurejea nchini akihofia usalama wake

Wanasiasa mara zote ndivyo walivyo, wabinafsi mno,

Anachochea vurugu halafu jambo linapofikia kwake anadai anahofia usalama wake, na yuko zake huko Ulaya!!

Na mara zote huwa tunasema hapa, hawa wanasiasa sio wa kuwaamini, wanataka amani ivurugike halafu tukishaanza kupigana, watachukua pasi zao za kusafiria watakimbia wao na familia zao, halafu wakiwa huko nje bado wataendelea kutuchochea. Tunaoathirika ni sisi, wao wanasubiri tu kugawana madaraka. Kwa mfano hapo jamaa ukimwambia kateuliwa kuwa waziri wa sheria na katiba, nakuambia atasahau kila kitu kuhusiana na kauli zake kwamba anahofia usalama wake.

Ni kuwa makini mno na kauli za wanasiasa.
 
Wanasiasa mara zote ndivyo walivyo, wabinafsi mno,

Anachochea vurugu halafu jambo linapofikia kwake anadai anahofia usalama wake, na yuko zake huko Ulaya!!

Na mara zote huwa tunasema hapa, hawa wanasiasa sio wa kuwaamini, wanataka amani ivurugike halafu tukishaanza kupigana, watachukua pasi zao za kusafiria watakimbia wao na familia zao, halafu wakiwa huko nje bado wataendelea kutuchochea. Tunaoathirika ni sisi, wao wanasubiri tu kugawana madaraka.

Ni kuwa makini mno na kauli za wanasiasa.
Huyo pimbi wenu anayeivuruga hii hamuoni .
 
Huyo labda kaomba Ukimbizi Ulaya kakubaliwa hivyo Kisheria haruhusiwi kukanyaga nchi ambayo kaikimbia, siku akija TZ na ukimbizi wake unafutwa, ndo maana labda anawapiga danadana, huyo Tundu Lisu ni mtu Muongo sana!
Dunderhead at work .
 
Kesi inayoendelea mahakamani Kisutu si tu imenichekesha bali imenipa wasi wasi juu ya uwezo wa kiakili wa Hakimu mwenyewe.

Nitangulize angalizo mimi si mwana magwanda, wala mwanasheria.

Lissu kakimbia nchi kupata matibabu yaliyotokana na jaribio la kumuua. Waliofanya hivyo hawajulikani. Lissu ana kesi Mahakamani ambayo kimsingi hatujui miguu wala kichwa cha kesi hiyo.

Magazeti ya leo yana vichwa vya habari Hakimu akitoa amri Lissu arudi nchini kuendelea na kesi yake (ili pengine afungwe-kama akikoswakoswa kuuwawa mara ya pili)!

Hapo ndio najiuliza uwezo wa Mahakimu wetu.
 
Techinically hakimu yupo sahihi mkuu, japo tukienda kiubinadamu sio, maana kesi zenyewe za kisiasa wala hazina tija yoyote kama ulivyosema

Ila Lissu alipewa dhamana kwa kuwa hakimu aliamini kuwa angekuwa hapa nchini kuimalizia kesi, sasa yeye kubaki huko inawapa wakati mgumu waliompa dhamana,
 
Achana na mambo ya hakimu na mahakama. Jiweke katika nafasi ya mzazi wa Lissu. Mwanao Lissu ungemshauri nini katika mazingira yaliyotokea?

Mara nyingi kuna njia nyingi za kufikia unapotaka. Watu watapima maamuzi yako ya kuchagua njia, hata kama kufika ni kufika tu.
 
Hakimu anafungwa na sheria, sheria ni kipofu, sheria na haki ni vitu viwili tofauti tena vyenye kupingana, mahakama haifati taarifa zisizo rasmi au hisia hata kama dunia nzima inajua hivyo

CONCLUSION;

Afya ya akili ya Mheshimiwa ipo safi kabisa na hapo anatekeleza na sio kulekezeza matakwa ya kisheria
I sympathise na Mh. Lisu but Hakimu alikua lazima ahoji mahali alipo mshtakiwa
 
Asante kwa jibubliloenda shule.
My logic ni simple, uko wanted either kuwa jailed on presumably trumped up charges au kuwa finished off by an assasins bullet.

Hakimu hawezi kuweigh in hizo circumstances?
 
Hakimu anafungwa na sheria, sheria ni kipofu, sheria na haki ni vitu viwili tofauti tena vyenye kupingana, mahakama haifati taarifa zisizo rasmi au hisia hata kama dunia nzima inajua hivyo

CONCLUSION;

Afya ya akili ya Mheshimiwa ipo safi kabisa na hapo anatekeleza na sio kulekezeza matakwa ya kisheria
I sympathise na Mh. Lisu but Hakimu alikua lazima ahoji mahali alipo mshtakiwa

Tatizo kuu au kizuizi au kinachomfanya Lisu asirudi.

1. Waliotaka kumuua hawajakamatwa

2. Waliotaka kumuua hawajulikani akinanani

3. Waliotaka kumuua hawajulikani wapo wapi

Serikali kupitia jeshi la polisi pia hawajaweza

1. Kuwakamata
2. Kuwabaini

Katika mazingira haya, risk/hatari nikubwa kwa Lisu kitu kilekile kujirudia na wahenga alisema

Kunguru muoga hukimbiza mbawa zake na

Kinga nibora kuliko tiba

Kifo hakina spea nibora zaidi kuepuka Shari usijaribu kwani ukifa umekufa.

Lisu tambuwa wazi . SUMU HAIONJWI/HAIJALIBIWI
 
Pamoja na mazingira hayo Hakimu yeye halioni hilo?
Kidogo tunaanza kuamini kuwa the Law is an ass!
 
adolay,
Nakuunga mkono mkuu, na naunga mkono Lisu asirudi kwa sasa but hakimu hana kosa kwakweli, amefata maagizo na taratibu za sheria zinavomtaka
 
Sheria hazizingatii mazingira ya tukio, mtuhumiwa, ?
Kuna kesi moja nchini Uingereza ndugu wa marehemu walishtaki kupinga mbwa wa marehemu kuachiwa urithi qa mali nyingi na marehemu ndigu yao

Jaji alimpa ushindi na haki mbwa arithi mali zote. Katika maelezo ya hukumu yake Jaji alisema;

"Katika siku ambayo sheria imetufanya sisi binadamu wapumbavu basi ni leo, lakini mikono yangu imefungwa na siwezi kuamua kinyume ya hivi"

Law is blind mkuu
 
Back
Top Bottom