Mdhamini: Tundu Lissu ameshapona, anashindwa kurejea nchini akihofia usalama wake

Mdhamini: Tundu Lissu ameshapona, anashindwa kurejea nchini akihofia usalama wake

Lisu wala usihadaike na maneno ya mkata viuno Lugola, au huyu mlamba visigino kamanda Zero. Kaa huko huko Ulaya.
 
Kama alikua anaamini anachokiongea anaogopea nini kurudi? arudi tu apambane Mahakama si zipo

ifike wakati hawa wana siasa wakumbukege kuna "kesho"
Unaongea upupu tu, ungekuwa ww umepigwa risasi 16,na waliokupiga hawajulikani ungerudi kirahisi kisa ni mwanasaiasa?
 
Wanaotaka kumuua ni Chadema wenyewe baada ya kulifahamu hilo sasa yale matusi yake kwa Serikali na wananchi wa Tanzania yamemponza anaona aibu. Watanzania ni wema sana hawana kinyongo arudi tu aendelee na Maisha yake. Ujanja ujanja wa kupayuka hovyo umemponza.
 
Mambo ni rahisi tu midhali tumebaki na chama kimoja arudi ajiunge nacho kisha agombee.... kile wengine wataogopa kukigombea...
 
Huyo labda kaomba Ukimbizi Ulaya kakubaliwa hivyo Kisheria haruhusiwi kukanyaga nchi ambayo kaikimbia, siku akija TZ na ukimbizi wake unafutwa, ndo maana labda anawapiga danadana, huyo Tundu Lisu ni mtu Muongo sana!
 
Lissu bora apige mishe zake ulaya siasa za tz sasa sio
 
Kwa Lissu sasa bora kubaki ukouko na awaite watoto wake uko maana hapa wanaweza kupata matatizo mengi ya kisaikolijia.Watoto watapiga shule za maana uko na baadae wanaweza kuja kusaidi nyumbani.Ni uwamuzi wa maana sana kwasasa kama siasa anaweza kurudi baadae na kuendelea na siasa hizo.Kwanza yuko nchi nzuri sana akipata kadi ya ukimbizi ya "schengeni viisa" itampa uwezo wa kutembea nchi za ulaya kasoro UK.Ulaya kuna vyuo vingi wanatafuta watu wanaoweza kufundisha Historia ,siasa ,sheria na katiba za Africa ,kitu ambacho naamini Lissu anaweza akafundisha au akaomba PHD akajipigia wakati mambo yanakwenda.
 
Back
Top Bottom