Mdhamini: Tundu Lissu ameshapona, anashindwa kurejea nchini akihofia usalama wake

Mdhamini: Tundu Lissu ameshapona, anashindwa kurejea nchini akihofia usalama wake

Sesten Zakazaka,

Inawezekana mwenye mali aliandika na kuapa mahakamani na kwa msingi huo huwezi hamisha mazingira ya aliyeapa kumrithisha mbwa Mali zake. Japokuwa bado sheria inaweza kugeuka

Mfano umezaa mtoto wako nakumlea

Niwako ndio lakini huwezi kuapa mahakamani kuwa utamchinja umle kitoweo ....sheria haipo wala haitakuruhusu japo mtoto niwako.....

Sometimes sheria pekee haikamiliki bila
Akili
Hekima
Utashi na
Washauri bora (Balaza la wazee)

Vinginevo mahakimu hugeuka vituko nakudharaulika. Sababu hawajitambuwi wala kujithamini nakuheshimu matakwa ya taaluma zao.
 
Hakimu Simba kaagiza Tundu iwe iwavyo tarehe 19 Disemba afike Mahakamani bila kukosa.
Kwa mantiki hiyo na mimi nauliza je Tundu asipofika siku hiyo ni rasmi atahukimiwa kifungo?
 
Hii imekaa vibaya kwa upande wa mh.lissu

Nashauri angerudi tu ili kutii sheria za Nchi yetu mama Tanzania
 
Hakimu Simba kaagiza Tundu iwe iwavyo tarehe 19 Disemba afike Mahakamani bila kukosa.



Kwa mantiki hiyo na mimi nauliza je Tundu asipofika siku hiyo ni rasmi atahukimiwa kifungo?

Vision ya hukumu hiyo tayari TL atakuwa anayo hivyo usihofu chochote
 
Huo msemo wa mabeberu ni propaganda za kizee,na ww utakuwa mzee lazima. Ni hivi Tundu Lisu asirejee nyumbani kwa sasa maana waliogiza yeye kupigwa risasi ndio hao wanaoagiza uchaguzi uvurugwe.
Mimi nikimsikiaga mtu hadi mwaka huu 2019 bado anaongea habari za mabeberu huwa namwona fala sana;hao mabeberu wana shida na tanzania tu?kama wana shida kwa wote,mbona wengine wameendelea wanachapa kazi kama wanaume na sio kulalamikia shory za mabeberu?Achana naye huyo!
 
Kuna bata huko ? Jidanganye
Lissu jikalie tu ulaya achana na siasa uchara za kununuana za wapumbavu wanaofikiria watanzania wote ni mafala kama wao kuna siku utarudi waache wapumbavu wafanye wanayoyafanya maana ukija watasema unawakwamisha tulia kula bata achana na upumbavu.
 
Anaogopa nini. mbona nyie makamanda mnamuogopa jiwee..

Ila mi sinashida hata angekufa nisingeumia kwani hajawahi kutetea watu wanaonewa mfano Shekhe ponda alipopigwa risasi mbona alikuwa kimyaa? Af leo et nisikitike walaa akitaka ahamie hukoo. Wanasiasa wote wapigwe risasi tuu wafe nasisi watuue tufe
Mungu wako akusamehe, amelaaniwa yeye anayemuombea binadamu mwenzake kifo.
 
Kama alikua anaamini anachokiongea anaogopea nini kurudi? arudi tu apambane Mahakama si zipo

ifike wakati hawa wana siasa wakumbukege kuna "kesho"
Angekuwa ni ndugu au jamaa yako alipatwa na haya usingesema hayo!
Risasi zile zilijaa unyama na ushetani mkubwa, Mungu ndie alifanya yale maajabu ya yeye kutokufa.
Waliomshambulia wapo na bado hawajakamatwa!
 
Anaogopa nini. mbona nyie makamanda mnamuogopa jiwee..

Ila mi sinashida hata angekufa nisingeumia kwani hajawahi kutetea watu wanaonewa mfano Shekhe ponda alipopigwa risasi mbona alikuwa kimyaa? Af leo et nisikitike walaa akitaka ahamie hukoo. Wanasiasa wote wapigwe risasi tuu wafe nasisi watuue tufe
Kichwa kimekujaa ukoko haswaaaa! haya maneno hutamkwa na wajinga peke yao!
 
Kuna kesi moja nchini Uingereza ndugu wa marehemu walishtaki kupinga mbwa wa marehemu kuachiwa urithi qa mali nyingi na marehemu ndigu yao

Jaji alimpa ushindi na haki mbwa arithi mali zote. Katika maelezo ya hukumu yake Jaji alisema;

"Katika siku ambayo sheria imetufanya sisi binadamu wapumbavu basi ni leo, lakini mikono yangu imefungwa na siwezi kuamua kinyume ya hivi"

Law is blind mkuu
Huyo Jaji ni m.pumbavu na hana hekima ya mfalme Suleiman.

Je , alimwita mbwa ili kudikia maoni yake?
 
Mahakama itoe amri kwa Serikali kumlinda Lissu....dawa ni kumpa mchawi akulelee mwanao...
 
Ile kesi ya kupinga ubunge imeshapoteza thamani na kauli yake inahalalisha maamuzi ya spika kuwa Tundu Lissu alikuwa ni mtoro
 
Back
Top Bottom