Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
Mdogo wake asiyekuwa na jina. Vidudumtu kama hivi askofu waka hajisumbui navyo. Mchungaji yeye anataka vyeti. Baaaas[/QUOTE UJUE CCM IMEZOEA MICHEZO KAMA ILE YA KINA MASABURI KUVALISHA WANYWA VIROBA JEZI ZA CDM NA KUJIFANYA WANAANDAMANA UJINGA MTUPU WANANCHI WASHAISHTUKIA CCM WACHACHE TU TENA NAMAANISHA WACHACHE WENGI WANAANDIKA TU HAPA KWAVILE HATUWAONI JINSI WANAVOTAABIKA NA UCHUNGU MWINGI
tunataka vyetiMtu akikuita nyumbu utalalamika? Jielimishe sio unakuwa bendera kwa kila jambo bila kuelewa maana!!!
Mkuu upo sahh, ibada ya jpil huyu mdogo wake Bishop ni zam ykeHuyo mdogo wake subiri na yeye atapewa vidonge vyake kwenye ibada ya jumapili
Sijaona alichosema kanarukaruka kama kitenesi anasema ameona awaambie watanzania nani kamuomba ?Mkuu upo sahh, ibada ya jpil huyu mdogo wake Bishop ni zam yke
Mbowe toka azaliwe anajulikana kama Freeman na hadi Leo in hivyo.Mwambie kwanza mbowe aonyeshe vyeti
Kwanini ishu ya vyeti ianze baada ya vita vya madawa?
Kama ana ushahidi wa hivyo vyeti kwa nini asiweke mezani watu waone?
Vyeti vyako??Acha uwongo tunataka vyeti hakuna utetezi hapa