Mdogo wa Gwajima amtetea Makonda, asema Josephat apuuzwe vita ya madawa ya kulevya

Laah hii kali! Huwa unafikiri kabla ya kuandika au unaandika na kupost kisha unafikiri baadae?
 
Kama ni wauza unga sheria iwahukumu ipasavyo lkn Makonda aoneshe vyeti
 
Kama ni wauza unga sheria iwahukumu ipasavyo lkn Makonda aoneshe vyeti
 
Kama umeandika zaidi ya Maneno 5000 bila kumtaja huyo Mdogo wake Gwajima kwa Majina yake wewe ndio utakuwa ni kilaza zaidi ya Bashite.

TUNATAKA VYETIIIIIIIIIII
 
VITU VYA KUZINGATIA;
1. Anaona katajwa kinyume na utaratibu au kaonewa aende mahakamani.
2. Mwenye vyeti feki aweke hapa ili tumuulize rais kwa nini kamteua mtu aliye na kosa la jinai.
3. Tuache kujinufaisha kwa kutumia sakata hili.
MNAO PAMBANANA NA VITA YA MADAWA YA KULEVYA HONGEZENI NGUVU ZAIDI ILI KUOKOA MAISHA YA VIJANA.

MAMBO MENGINE NI KELELE ZISIZO NA MSINGI.
 
Hapa naona Kijicho na chuki za kiukoo, huwa zinatokea sana hasa mmoja akiwa na maendeleo makubwa zaidi ya wenzie
Huyo Gwajima mdogo anatuambiaje kuwa Kanisa sio sehemu ya siasa kwa Gwajima tu?

JPM kaenda kwa Mzee wa upako Kaongea Siasa, Kaenda KKKT kaongea siasa, Kaenda Catholic Dar, Singida na Bukoba kaongea siasa, Mbona huyo Gwajima mdogo hakuitisha press Conference?

Makonda nae kamaliza Makanisa akiongea Siasa, Mbona huyo Gwajima mdogo hakuitisha press conference?

iweje mwanasiasa akienda kuongea siasa Kanisani iwe sawa, lakini Mchungaji akiongea Siasa iwe issue?
 
Dah! huyu ndiye ndugu yake anayemfahamu in and out " hajawaki kufufua hata panya" ila waliokutana naye bongo ndio wanajifanya kumuamini. Kamrarua ile mbaya
Hamtutoi kwenye mstari na hao mnaowanunua. Leo mnaona issue ya vyeti ni upuuzi, madhara ya vyeti feki unayajua vizuri na ni makubwa kuliko unavyojaribu kudanganya watu kisa unamtetea mtoto wa mfalme. Hatuipuuzi vita ya madawa ya kulevya, lakini nayo haiwezi kutuondoa kwenye vita ya elimu feki.
 
Anatuhumiwa kushindwa kufufua mfu?

Hili kosa kiboko!

Nina hakika adhabu yake lazima itakuwa kubwa sana.

Nashauri huyo mdogo wake na Gwajima kwa kushirikiana na hao watoto pamoja na Kondaz wamfungulie mashtaka kwa kosa hilo
 
Gwajima anachofanya kila jamaa akiweka mboga yeye anamwaga ugali, huewzi kumtuhumu mtu bila sababu za msingi. Gwajima we endeleaa kumwaga ugali tu hadi kieleweke.
 
Sisi watz tumechoka na ujinga wenu hoja ya msingi hapa ni.madawa ya kulevya ni siyo ujinga wenu .
First come first. Daudi kufanya mtihani na Daudi kuwataja watu hovyo nini kulianza?
Hili la cheti mpaka lipate majibu na hatua vinginevyo NECTA ya nini sasa? Hayo ya madawa yupo Sianga kule na anafanya kazi kwa ufanisi bila kulaumiwa.
Huyu Daudi hata kama angekuwa hajafoji cheti bado asibgeruhusiwa kugusa huko
 
Makonda mwenyewe kaenda kanisani kuhubiri majukumu yake ya ukuu wa mkoa...
 
UTABIRI: Matokeo ya Tabia za Gwajima, iko siku anguko lake litakuwa kuu. Tujipe muda
 
Vyeti si hoja, hoja iliopo mezani ni madawa ya kulevya-tuelekeze akili zetu kwenye madawa.
Ndugu yangu alifukuzwa kazi kwa kutumia cheti cha mtu mwingine, same applied to BASHITE.
 
Hatudanganywi na mtu anayetumika vinginevyo.
Hakuna cha mdogo wake Gwajima wala cha nani. Issue ni mtuhumiwa alete vyeti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…