Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Unajitoa ufahamu kwa jambo la kijinga hivi huoni hata aibu?
unalia-lia nini?/
mbona kuonyesha vyeti ni jambo jepesi kuliko haya mapovu mnayobubujikwa hapa??
hapa vyeti tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajitoa ufahamu kwa jambo la kijinga hivi huoni hata aibu?
Mama wa mkuu wa mkoa ampongeza gwajima asema mwanae alikua apendi kusomaHa ha ha wapi gambaaA kazi tuuu apa
Laah hii kali! Huwa unafikiri kabla ya kuandika au unaandika na kupost kisha unafikiri baadae?Kama Huyo John si Muuza madawa kweli
asinge shupalia ujinga huo.
Huyu kajificha nyuma ya uchungaji kuuza madawa,
Wengine wamejificha nyuma ya Uenyekiti wa chama kuendesha Biashara mbaya!!
Hawata penya
waendelee kuwatumia hao mamluki
lakini hawata penya kamwe
Kama ni wauza unga sheria iwahukumu ipasavyo lkn Makonda aoneshe vyetiKama Huyo John si Muuza madawa kweli

Kwa ufupi mdogo wake mchungaji wa kanisa la ufufuo na uzima (Josephat Gwajima) amesema mchungaji huyo anatakiwa aache kutumika na kuhoji kuna nani nyuma yake. Amedai mchungaji hawezi kujiingiza kwenye malumbano na mipasho ya kidunia.
Ameendelea kusema vyeti vya Makonda viachiwe mamlaka husika kuchunguza kwani kumuandama sana inaweza kusababisha watu wengine siku zijazo kuogopa kujihusisha kupambana na madawa ya kulevya.
Amesema serikali imemlea sana Gwajima na waziri wa mambo ya ndani anatakiwa amuangalie na ana tuhuma nyingi ikiwemo kadai angemfufua baba wa watoto yatima ilhali yeye anajua hajawahi kufufua hata panya.
Amedai tabia ya kubeza shughuli za maendeleo zinazofanywa na serikali sio tabia njema na haiisadii nchi. Amesema anajua vita ya madawa ya kulevya ni ngumu na hugharimu maisha, atoa wito kwa watanzania wote kuunga mkoni juhudi za kutokomeza madawa ya kulevya hasa Dar es Salaam.
Amesema anafahamu yeyote atakayejitokeza kuunga mkono juhudi za kupambana na madawa ya kulevya ataandamwa tu na hivyo kwa namna ya pekee anamshukuru mkuu wa mkoa wa Dar Paulo Makonda na atakumbukwa na vizazi vyote kwa kujitoa Muhanga kusimamia vita ya madawa ya kulevya Dar es Salaam na kila mmoja amefahamu athari za madawa ya kulevya hadi kwa watoto wadogo ndio maana anaandamwa kila kona na kuhoji walikuwa wapi kuyasema yote kabla ya vita ya madawa ya kulevya.
Hamtutoi kwenye mstari na hao mnaowanunua. Leo mnaona issue ya vyeti ni upuuzi, madhara ya vyeti feki unayajua vizuri na ni makubwa kuliko unavyojaribu kudanganya watu kisa unamtetea mtoto wa mfalme. Hatuipuuzi vita ya madawa ya kulevya, lakini nayo haiwezi kutuondoa kwenye vita ya elimu feki.Dah! huyu ndiye ndugu yake anayemfahamu in and out " hajawaki kufufua hata panya" ila waliokutana naye bongo ndio wanajifanya kumuamini. Kamrarua ile mbaya
Kwa ufupi mdogo wake mchungaji wa kanisa la ufufuo na uzima (Josephat Gwajima) amesema mchungaji huyo anatakiwa aache kutumika na kuhoji kuna nani nyuma yake. Amedai mchungaji hawezi kujiingiza kwenye malumbano na mipasho ya kidunia.
Ameendelea kusema vyeti vya Makonda viachiwe mamlaka husika kuchunguza kwani kumuandama sana inaweza kusababisha watu wengine siku zijazo kuogopa kujihusisha kupambana na madawa ya kulevya.
Amesema serikali imemlea sana Gwajima na waziri wa mambo ya ndani anatakiwa amuangalie na ana tuhuma nyingi ikiwemo kadai angemfufua baba wa watoto yatima ilhali yeye anajua hajawahi kufufua hata panya.
Amedai tabia ya kubeza shughuli za maendeleo zinazofanywa na serikali sio tabia njema na haiisadii nchi. Amesema anajua vita ya madawa ya kulevya ni ngumu na hugharimu maisha, atoa wito kwa watanzania wote kuunga mkoni juhudi za kutokomeza madawa ya kulevya hasa Dar es Salaam.
Amesema anafahamu yeyote atakayejitokeza kuunga mkono juhudi za kupambana na madawa ya kulevya ataandamwa tu na hivyo kwa namna ya pekee anamshukuru mkuu wa mkoa wa Dar Paulo Makonda na atakumbukwa na vizazi vyote kwa kujitoa Muhanga kusimamia vita ya madawa ya kulevya Dar es Salaam na kila mmoja amefahamu athari za madawa ya kulevya hadi kwa watoto wadogo ndio maana anaandamwa kila kona na kuhoji walikuwa wapi kuyasema yote kabla ya vita ya madawa ya kulevya.
First come first. Daudi kufanya mtihani na Daudi kuwataja watu hovyo nini kulianza?Sisi watz tumechoka na ujinga wenu hoja ya msingi hapa ni.madawa ya kulevya ni siyo ujinga wenu .
Makonda mwenyewe kaenda kanisani kuhubiri majukumu yake ya ukuu wa mkoa...Hapa naona Kijicho na chuki za kiukoo, huwa zinatokea sana hasa mmoja akiwa na maendeleo makubwa zaidi ya wenzie
Huyo Gwajima mdogo anatuambiaje kuwa Kanisa sio sehemu ya siasa kwa Gwajima tu?
JPM kaenda kwa Mzee wa upako Kaongea Siasa, Kaenda KKKT kaongea siasa, Kaenda Catholic Dar, Singida na Bukoba kaongea siasa, Mbona huyo Gwajima mdogo hakuitisha press Conference?
Makonda nae kamaliza Makanisa akiongea Siasa, Mbona huyo Gwajima mdogo hakuitisha press conference?
iweje mwanasiasa akienda kuongea siasa Kanisani iwe sawa, lakini Mchungaji akiongea Siasa iwe issue?
Hayo niyakoLaah hii kali! Huwa unafikiri kabla ya kuandika au unaandika na kupost kisha unafikiri baadae?
Ndugu yangu alifukuzwa kazi kwa kutumia cheti cha mtu mwingine, same applied to BASHITE.Vyeti si hoja, hoja iliopo mezani ni madawa ya kulevya-tuelekeze akili zetu kwenye madawa.
Kwa ufupi mdogo wake mchungaji wa kanisa la ufufuo na uzima (Josephat Gwajima) amesema mchungaji huyo anatakiwa aache kutumika na kuhoji kuna nani nyuma yake. Amedai mchungaji hawezi kujiingiza kwenye malumbano na mipasho ya kidunia.
Ameendelea kusema vyeti vya Makonda viachiwe mamlaka husika kuchunguza kwani kumuandama sana inaweza kusababisha watu wengine siku zijazo kuogopa kujihusisha kupambana na madawa ya kulevya.
Amesema serikali imemlea sana Gwajima na waziri wa mambo ya ndani anatakiwa amuangalie na ana tuhuma nyingi ikiwemo kadai angemfufua baba wa watoto yatima ilhali yeye anajua hajawahi kufufua hata panya.
Amedai tabia ya kubeza shughuli za maendeleo zinazofanywa na serikali sio tabia njema na haiisadii nchi. Amesema anajua vita ya madawa ya kulevya ni ngumu na hugharimu maisha, atoa wito kwa watanzania wote kuunga mkoni juhudi za kutokomeza madawa ya kulevya hasa Dar es Salaam.
Amesema anafahamu yeyote atakayejitokeza kuunga mkono juhudi za kupambana na madawa ya kulevya ataandamwa tu na hivyo kwa namna ya pekee anamshukuru mkuu wa mkoa wa Dar Paulo Makonda na atakumbukwa na vizazi vyote kwa kujitoa Muhanga kusimamia vita ya madawa ya kulevya Dar es Salaam na kila mmoja amefahamu athari za madawa ya kulevya hadi kwa watoto wadogo ndio maana anaandamwa kila kona na kuhoji walikuwa wapi kuyasema yote kabla ya vita ya madawa ya kulevya.
Kama ni wauza unga sheria iwahukumu ipasavyo lkn Makonda aoneshe vyeti