Mdogo wa mke wangu (binti) amenidharau na kunitukana mbele ya mke wangu

Amina hapa umenena sana broo
 
Mimi ni muajiriwa...
Vipodozi duka tuu kwa ajili ya pesa home za bili na chakula basi.
Tafuta mteja taifisha hilo duka. Au tafuta binti mtiifu weka hapo dukani. Huyo mwanamke peleka kwao. Akisema muuze nyumba mwambie atafute mteja akija akitaja bei akiikubali airisha mauziano kile kiasi nusu mtafutie mpatie cash mkononi. Mwambie atambae kwao.


Maisha yaendelee na mtu mpya.
 
Pole kaka, naona unasema unajuta kuoa Mkurya. Mimi ni Mkurya hatuko hivyo, tuna mapenzi ya kweli na kuheshimu waume. Huyo uliyemuoa na mdogo ake, ni jinsi walivyolelewa tu kwao.

Pia punguza upole, simama kama mwanaume, kama baba, kama mume katika ndoa na nyumba yako. Hao ndugu zangu vimeo, peleka wote kwao wakashike adabu kwanza.
 
Wazee wengine bana sijui wamekulia familia za vipi. Yaani hawana uti wa mgongo wa kiume kabisa.

Kuna koo mkwe kwanza akija kwako ni kachungulia juu juu na kusepa. Ila sio kukaa hapo hapo na kuweka Kambi.
Yaani mpaka najiuliza asee...???
 
Ingekuwa mimi huyo binti angepata maumivu makali halafu yeye na dada yake wangelala stendi kwa safari mapema asubuhi.
Mkuu baada ya kumalizia kusoma uzi wake nilijawa na hasira, mshangao na kujiuliza huyu kweli ndio mwanaume wa familia? Tena anaomba ushauri wa jambo ambalo alipaswa kwanza awaoneshe uwanaume wake wote mle ndani yaani dogo na dadaake? Kwakusoma ujumbe wako kidogo nimefarijika kuwa kumbe WANAUME HALISI BADO TUPO.
 
Hizi swaga ninazo sana kakaa...
Sema kwa hili nipigo la kufikirika kwa upana zaidi.

Maana unaweza uzwa ukiwa humu humu ndani
 
Mimi huwa naitwa mkorofi bila sababu za msingi. Kwa mfano ningekuwa mimi ndio wewe huyo binti asingelala ndani usiku huo. Jinsi ulivyo mvumilivu umesema eti aondoke Jumatatu
Aondoke Jumatatu, hiyo kesho wanashondaje hapo nyumbani na mtu anauekudharau na dadaake?

Kweli kwenye miti hapakosi wajenzi😤
 
Jamaa kaaibisha uanaume wake. Hilo sio jambo la kuja kuandika jf.
 
Yaani toka amefika humu ndani yeye na mkewangu wao wako pamoja kila sehem.

Na hakika wanayo zungumza na kupanga ni mengi zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…