Inawezekana maana ukiwachunguza sana historia zao watakuambia wazee wao walitoka wapiWayahud hao...kwa mgongo wa kijifanya wajeremani
Kama Mose Katumbi wa TP Mazembe, hawa Jewish ni hatare.Wayahud hao...kwa mgongo wa kijifanya wajeremani
Ukiwa mweupe au chotara fursa zinafunguka kirahisi kuliko mtu black.Yah biashara ya lorry alikuwaga inspired na kaka yake mmja yuko Australia aliendaga kitambo
Na alikuwa anafanya kazi za kuendesha malori huko
Ova
Kweli duniani tunapita,Mdogowa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Klabu ya Simba, marehemu Zacharia Hans Poppe aitwaye Eddy Hans Poppe,
View attachment 1946052
(pichani kushoto) amefariki dunia juzi Jumamosi, septemba 18, 2021 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam.
Msiba huo umetokea ikiwa ni siku 8 tu tangu kaka yake, Zacharia afariki dunia hospitalini hapo wakati akipatiwa matibabu.
Si kweli, ni connection tu. Jamii ya mashombe ni wafanyabiashara, hwezi kuwakuta jeshini wala Polisi, ni wachache mno.Ukiwa mweupe au chotara fursa zinafunguka kirahisi kuliko mtu black.
Huenda ni kwel mkuu, black tuna ufukara sn sababu ya roho mbayaUkiwa mweupe au chotara fursa zinafunguka kirahisi kuliko mtu black.
Lakini ni rahisi kwao kufanya biashara za kimataifa. Kwenda nje na kujichanganya kirahisi nk. Dunia ni rahisi sana kwa mtu mweupe kutoboa. Hata wewe mkikutana na mhabeshi nje na mnaqualification sawa, ni rahisi kwa mhabeshi kutoboa.Si kweli, ni connection tu. Jamii ya mashombe ni wafanyabiashara, hwezi kuwakuta jeshini wala Polisi, ni wachache mno.
Ni sawa na kutafuta Muhindi jeshini JWTZ, hawana mzuka huo.
Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Hofu gani tena ?Apumzike kwa amani, pia tuache hofu, hofu ndio tatizo halisi.
Mkuu iv warangi rangi ni jamii ya watu gn? Naonaga watu wakiwataja sn hasa kwenye nyuz znazohusu south africaWana project moja kubwa sana cha kilimo cha strawberry iringa ukiona investment iliyofsnyika,vifaa shamban,wanavyolima
Wanavyoshirikiana ni kwa mafanukio makubwa sana,jamaa hawa ni hardworking sana
Si unajua warangirangi walivyokuwa wabishi
Ova
Mkuu Marehemu Zacharia si alikuwa jeshini? Tena aliondolewa kwenye cheo cha u-kapteni? Sema funzo ni kuwa ukiona umeondolewa kazini, usikae na kuliaia;tafuta opportunities nyingine....Si kweli, ni connection tu. Jamii ya mashombe ni wafanyabiashara, hwezi kuwakuta jeshini wala Polisi, ni wachache mno.
Ni sawa na kutafuta Muhindi jeshini JWTZ, hawana mzuka huo.
Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Kweli duniani tunapita,
Anegeachaje kwenda kumzika kaka yake? Lazima aikwenda, na alikuwa mstari wa mbele....Alienda kuzika !!??
Uvivu...Huenda ni kwel mkuu, black tuna ufukara sn sababu ya roho mbaya
Uvivu? Vp ndugu zetu wanao angaika mashambani miaka nenda rudi mpk wanakufa maskini, m nadhan ni roho mbaya ndio inayopofusha akili sio uvivuUvivu...
1. Kufikiri
2. Kufanya kazi
Miradi ya kifamilia yeye ndiyo alikuwa injinia mkubwa na mambo mengine,in short walikuwa wanamsikia sana
Ova
Wayahud hao...kwa mgongo wa kijifanya wajeremani