TANZIA Mdogo wa Zacharia Hans Pope afariki dunia, ikiwa ni ndani ya wiki ya maombolezo ya kakake

Si kweli, ni connection tu. Jamii ya mashombe ni wafanyabiashara, hwezi kuwakuta jeshini wala Polisi, ni wachache mno.

Ni sawa na kutafuta Muhindi jeshini JWTZ, hawana mzuka huo.

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Ila kwenye siasa utawakuta hasa hawa baniani, na waaarabu wa Kayenze, ni watoa rushwa sana hawana aibu kwa kujikomba hata akiwa mtu mzima atamwakia shikamoo mheshimiwa mwenye miaka 30 ilihali yeye ana 60, namkumbuka yule aliyekuwa mbunge wa Kawe Adamjee alivyokuwa anamwaga shikamoo kwa RC/DC/Waziri ambao kawazidi umri bila kupepesa macho.
 
Si kweli, ni connection tu. Jamii ya mashombe ni wafanyabiashara, hwezi kuwakuta jeshini wala Polisi, ni wachache mno.

Ni sawa na kutafuta Muhindi jeshini JWTZ, hawana mzuka huo.

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Ni sawa na kusema jamii ya maalbino ni wafanya biashara huwezi kuwakuta kwenye majeshi ya Tz Jwtz,polis au magereza.
Kumbe hujui kuwa majeshi ya Tz hayaajiri watu wenye albinism na kwa sasa hayaajiri kabisa mtu mwenye asili ya nje ya Tz yanaajiri wazawa tu.
 
Pole kubwa kwa familia.
 
Apumzike kwa amani, pia tuache hofu, hofu ndio tatizo halisi.

Chief hii ni theory....ni ngumu mgonjwa kutokuwa na hofu anapogonjweka hasa ukifijiria utakayoyaacha duniani kama ukifa....tatizo lipo watu waishi kwa tahadhari, kitakachokulinda ni fitness yako Mungu aliyokupa....
 
Hakina nchi duniani imewahi kusonga bila kuwa na mfumo imara wa Kodi!! Acha tozo ziendelee ili tuboreshe maisha jamiii,

Kukamua watu kodi ili kuhodhi dreamliner nzima iliyonunuliwa kwa pesa za maskini hohehahe hawa na kuirusha Dar Marekani kama gari binafsi ni zaidi ya ujambazi.

Au wewe huoni hivyo?
 
Chief hii ni theory....ni ngumu mgonjwa kutokuwa na hofu anapogonjweka hasa ukifijiria utakayoyaacha duniani kama ukifa....tatizo lipo watu waishi kwa tahadhari, kitakachokulinda ni fitness yako Mungu aliyokupa....

Fear is the only and Real obstacle between the Fake You and the Real You!

Innah lillah wainnah illah rajioun, Poleni sana familia ya Hanspoppe, Muumba awazidishie Subra na Imani!
 
Ni kweli, black tunasumbuliwa na mambo mengi, uvivu uliopindukia, ubinafsi usioelezeka, tunaridhika na vitu vidogo vidogo tena mapema sana tunaridhika, kupenda kujionesha na kujikweza.

Kwa kifupi mablack ni kama tumelaaniwa

Kuna dada yao mwingine anaitwa Naomi Hans Poppe, nilisoma naye. Naomba kama unamfahamu au yeyote anayemfahamu anipe namba yake ya simu! Miaka ya 2000 alikuwa anaishi Magomeni na alikuwa na biashara ya kuuza vinyago pale Mwenge.
 
huyu ndio mrangi tunayemjua
 
Tafauti na unavyowaza, hiyo shikamoo haina uzito wowote kwao kwani siyo mfumo wao wa kuamkia. Ni sawa na mchaga anavyomwamkia mwanawe shikamoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…